Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Winga wa yangasc ambae ni Raia wa Congo, Tuisila Kisinda baada ya kuuona uwanja wa Jamhuri mkoani Morogoro amesema sio mbaya sana, Kikubwa uzoefu na kujua namna ya kuutumia ili upate matokeo.
 
Mauzo yenu ya jezi mpya hayo hapo,

Ukipiga hesabu nyie mmepata mil 10,400,000.. Milion 10 na laki 4 Tu

Tu assume labda, kwa hesabu za kufikirika (haziwezekani ila anyway tu assume tu) tu assume mauzo yatabak juu hivyo hivyo kila mwez.. that means kwa mwaka msimu au tuseme mwaka mtakua na 10,400,000x12=124,800,000

Tukumbuke wakati mnauza hizo jez 8000, kulikua na matangazo kibao na maandiliz kem kem ya mauzo hayo, ambayo sitegemei yarudiwe tena, so kwa kifupi tu ni kwamba hata mil 80 hamtopataView attachment 1581505
Hesabu za mauzo ya jezi za Simba unazo ?

Tuone namna gani timu hz zinanufaika au la na mauzo ya jezi
 
20200926_170515.jpg
 
Back
Top Bottom