Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

20200926_003256.jpg
 
Na mashabiki wa simba, azam, mtibwa, ihefu, lipuli, coastal, kagera, mbeya city, kmc nk nk no

wote wananunua [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

hizi jezi zinazokuja zinauzwa ndani ya maduka mawil zinaisha siku mbili mtu anasema wanapewa 1.2bil

achen masikhara nyie utopolo

nyinyi mnachukua 1300 kwa jezi.. wale watu wa maduka wanachukua 5000 kwa jez

wao watakua wameingiza bei gani?? ukipiga hesabu hapo ni Bil 5?? Kwamba shafii na Sandaland wameingiza bil 5?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

kama hapo taifa watu elfu 60 hua panafunguliwa tokea asubuh na bado watu wanakaa kwenye folen masaa ya kutosha, hapo kwa shafii ungekaa foleni mwezi mzima ndio upate jezi
Nyie jezi zenu mnaingiza sh ngapi?
 
Wiki hii tukishinda lazima tuwe nafasi ya kwanza ama ya pili maana wapinzani wetu wenye point 7 ni Simba, Dodoma mji na Azam. Azam Yuko Mbeya anacheza na Prisons naamini hii match ni sare na Dodoma mji anacheza na Polisi Tanzania na namiini Dodoma mji anafungwa Ila Simba atashinda. Hivi tutafungana na Simba Kwa point atakua wa kwanza sie wa pili na tutamtoa siku tutapokutana tutakwaa kileleni
hahaaaa! hongera zako mtani
 
Naona mkuu unashindwa kubishana kwa hoja,yaani umejaza 'ushabiki maandazi'
Lol!! Unafiki huo veeepeeeee.

Dooh!! Hivi mbumbumbu , Manyani , Ubwa vinafanana? [emoji15]
Nasubiri jibu ,La hili swali
Mauzo yenu ya jezi mpya hayo hapo,

Ukipiga hesabu nyie mmepata mil 10,400,000.. Milion 10 na laki 4 Tu

Tu assume labda, kwa hesabu za kufikirika (haziwezekani ila anyway tu assume tu) tu assume mauzo yatabak juu hivyo hivyo kila mwez.. that means kwa mwaka msimu au tuseme mwaka mtakua na 10,400,000x12=124,800,000

Tukumbuke wakati mnauza hizo jez 8000, kulikua na matangazo kibao na maandiliz kem kem ya mauzo hayo, ambayo sitegemei yarudiwe tena, so kwa kifupi tu ni kwamba hata mil 80 hamtopata
Screenshot_20200926-162327.jpg
 
Mwenyekiti wa klabu yetu Dr. Mshindo Msolla, leo amezindua Tawi jipya la Mazimbu Morogoro, pia aliambatana na viongozi mbalimbali wa klabu yetu pamoja na wanachama na mashabiki wa tawi hilo.​

"DaimaMbeleNyumaMwiko"

20200926_164456.jpg

@Yangasc​
 
Mauzo yenu ya jezi mpya hayo hapo,

Ukipiga hesabu nyie mmepata mil 10,400,000.. Milion 10 na laki 4 Tu

Tu assume labda, kwa hesabu za kufikirika (haziwezekani ila anyway tu assume tu) tu assume mauzo yatabak juu hivyo hivyo kila mwez.. that means kwa mwaka msimu au tuseme mwaka mtakua na 10,400,000x12=124,800,000

Tukumbuke wakati mnauza hizo jez 8000, kulikua na matangazo kibao na maandiliz kem kem ya mauzo hayo, ambayo sitegemei yarudiwe tena, so kwa kifupi tu ni kwamba hata mil 80 hamtopataView attachment 1581505
Duh
 
Back
Top Bottom