Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtu gani wa Yanga alieulizia b 20,au kigwangwala kageuka Yanga leo?Ila bilioni 20 za moo ni mambo ya yanga?[emoji16][emoji16][emoji16].mnaona kwetu tu.
Ila kwenu kimyaaa
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Nyie jezi zenu mnaingiza sh ngapi?Na mashabiki wa simba, azam, mtibwa, ihefu, lipuli, coastal, kagera, mbeya city, kmc nk nk no
wote wananunua [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
hizi jezi zinazokuja zinauzwa ndani ya maduka mawil zinaisha siku mbili mtu anasema wanapewa 1.2bil
achen masikhara nyie utopolo
nyinyi mnachukua 1300 kwa jezi.. wale watu wa maduka wanachukua 5000 kwa jez
wao watakua wameingiza bei gani?? ukipiga hesabu hapo ni Bil 5?? Kwamba shafii na Sandaland wameingiza bil 5?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
kama hapo taifa watu elfu 60 hua panafunguliwa tokea asubuh na bado watu wanakaa kwenye folen masaa ya kutosha, hapo kwa shafii ungekaa foleni mwezi mzima ndio upate jezi
Ujinga kama huo huwezi kuukuta kwenye page ya Yanga neverHahahaha, sasa account ya Simba inaandika mambo ya Yanga ? Kweli Tanzania MNA muda wa kufanya utani ktk soka
hahaaaa! hongera zako mtaniWiki hii tukishinda lazima tuwe nafasi ya kwanza ama ya pili maana wapinzani wetu wenye point 7 ni Simba, Dodoma mji na Azam. Azam Yuko Mbeya anacheza na Prisons naamini hii match ni sare na Dodoma mji anacheza na Polisi Tanzania na namiini Dodoma mji anafungwa Ila Simba atashinda. Hivi tutafungana na Simba Kwa point atakua wa kwanza sie wa pili na tutamtoa siku tutapokutana tutakwaa kileleni
sisi tuna mkataba, una 300mil , then kuna adds-on ambazo zinasogeza hadi 500milNyie jezi zenu mnaingiza sh ngapi?
Na uhlsport?sisi tuna mkataba, una 300mil , then kuna adds-on ambazo zinasogeza hadi 500mil
Nasubiri jibu ,La hili swaliNa uhlsport?
ndioNa uhlsport?
Naona mkuu unashindwa kubishana kwa hoja,yaani umejaza 'ushabiki maandazi'
Lol!! Unafiki huo veeepeeeee.
Dooh!! Hivi mbumbumbu , Manyani , Ubwa vinafanana? [emoji15]
Mauzo yenu ya jezi mpya hayo hapo,Nasubiri jibu ,La hili swali
Hii haitawaepusha na kichapo kesho ujue Shadeeya?
DuhMauzo yenu ya jezi mpya hayo hapo,
Ukipiga hesabu nyie mmepata mil 10,400,000.. Milion 10 na laki 4 Tu
Tu assume labda, kwa hesabu za kufikirika (haziwezekani ila anyway tu assume tu) tu assume mauzo yatabak juu hivyo hivyo kila mwez.. that means kwa mwaka msimu au tuseme mwaka mtakua na 10,400,000x12=124,800,000
Tukumbuke wakati mnauza hizo jez 8000, kulikua na matangazo kibao na maandiliz kem kem ya mauzo hayo, ambayo sitegemei yarudiwe tena, so kwa kifupi tu ni kwamba hata mil 80 hamtopataView attachment 1581505