kidunula1
JF-Expert Member
- Apr 2, 2016
- 6,305
- 6,341
Eeh sister!Duuh!! Kumbe kapita pita kwenye ligi kubwa pia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eeh sister!Duuh!! Kumbe kapita pita kwenye ligi kubwa pia.
Mikia fc.Wamepita Makocha weengi hapo Chura FC tena wengine kwa mbwembwe nyiiingi lakini mwisho wake mnawafungashia virago waondoke zao. Mwambieni aje taratibu, aje kwa heshima na adabu zote akijua kabisa kuna Mzee wa Pori, Lunyasi ambae hakawii kukitia mchanga kitumbua chake cha ajira hapo Bonde la kulimia mpunga
Mbona ana hips kama mobeto!Cc Shadeeya @Kidunula ,watani naona Head Coach kawasiliView attachment 1601690
Ameshawasili Mtani. Nimeona Interview yake ya jana baada ya kuwasili kuwa anaanza kazi rasmi jumamosi.Cc Shadeeya @Kidunula ,watani naona Head Coach kawasiliView attachment 1601690
Hujakosea Mtani na Biashara ndo iko huku hivyo wacha wazimwage.Haya magazeti mbona hayajaanza leo kumwaga sifa? Hata Molinga yalimpamba vilivyo!
Nimemsifu kitu kimoja. Anajua kuongea. Mengine tusubiri tuoneAmeshawasili Mtani. Nimeona Interview yake ya jana baada ya kuwasili kuwa anaanza kazi rasmi jumamosi.
1. Ada ya mja kunena muungwana ni vitendoImekuwaje hamjamwaga CCCIIIIVVVVIIII zake ngoja nimwite Penison mana alivyokuja yule aliyepita azilileta kama zote.