Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Eti eee. 😀😀mwacheni atumie mjuba wake [emoji1][emoji1][emoji1]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eti eee. 😀😀mwacheni atumie mjuba wake [emoji1][emoji1][emoji1]
Hana CV huyo zaidi ya kufundisha ya kufundisha watoto wa Academy.Bila kuweka CV zake hapa hiki ulichokiandika Mtani hakina tofauti na kimbwanga cha mwaka. 😎😎
Daa kwa kweli nina furaha ya awamu ya kwanza. Awamu ya pili itategemea impact yake mkuuCc Shadeeya @Kidunula ,watani naona Head Coach kawasiliView attachment 1601690
Hahahaha, naona watani wenu wanasema mna kocha wa chekechekea ni kweli ?Daa kwa kweli nina furaha ya awamu ya kwanza. Awamu ya pili itategemea impact yake mkuu
Ungemalizia Academy ya timu gani basi. 😂😂😂Hana CV huyo zaidi ya kufundisha ya kufundisha watoto wa Academy.
Hamjawahi kosa kasoro nyie na ukiona mpaka sasa hamna maneno zenu za hovyo ujue Kaze hana baya.Hana CV huyo zaidi ya kufundisha ya kufundisha watoto wa Academy.
Binadamu ndo tulivyo Mtani tukishakosa kasoro hata ile ambayo sio kasoro tunaigeuza kuwa kasoro.Hahahaha, naona watani wenu wanasema mna kocha wa chekechekea ni kweli ?
Hahahaha, kabisa mtaniBinadamu ndo tulivyo Mtani tukishakosa kasoro hata ile ambayo sio kasoro tunaigeuza kuwa kasoro.
Hapa tusubirie mechi na Polisi ndo tutajua , japo pia naombea asije akaanza na mkosi tu wa kupoteza points kama alivyoanzaga eymael.Daa kwa kweli nina furaha ya awamu ya kwanza. Awamu ya pili itategemea impact yake mkuu
Hahahaha ,wanasahau kocha wao alivyokua anakuja CV yakeBinadamu ndo tulivyo Mtani tukishakosa kasoro hata ile ambayo sio kasoro tunaigeuza kuwa kasoro.
Mtani ,Yanga haipotezi point taifa mwaka huuHapa tusubirie mechi na Polisi ndo tutajua , japo pia naombea asije akaanza na mkosi tu wa kupoteza points kama alivyoanzaga eymael.
Wanasemaga siku zote kibanzi kinachoonekana haraka ni kile cha kwenye jicho la mwenzako hivyo siwashangai Mtani.Hahahaha ,wanasahau kocha wao alivyokua anakuja CV yake
[emoji16][emoji16]hilo halinipi shida mkuu. Mpira ni ule ule, mifumo yake ni ileile,malengo ni yaleyale n.k. Na Naamini kupewa kandarasi ya kufundisha chekechea ya Barcelona si kila mwalimu anaweza kushinda. Naiona yanga ikiwa na vinasaba vya barca hivi mtani siku za usoni hapo[emoji23][emoji23]Hahahaha, naona watani wenu wanasema mna kocha wa chekechekea ni kweli ?
Hahahaha, sawa sawa mtani, mwalimu chekekechea IST si sawa na mwalimu std 1 ,kipunguni primary[emoji16][emoji16]hilo halinipi shida mkuu. Mpira ni ule ule, mifumo yake ni ileile,malengo ni yaleyale n.k. Na Naamini kupewa kandarasi ya kufundisha chekechea ya Barcelona si kila mwalimu anaweza kushinda. Naiona yanga ikiwa na vinasaba vya barca hivi mtani siku za usoni hapo[emoji23][emoji23]
Cha kwanza cha muhimu ni kuona timu inacheza vizuri,inashambulia na kutengeneza nafasi. Tumpe tu muda huyu kijanaHapa tusubirie mechi na Polisi ndo tutajua , japo pia naombea asije akaanza na mkosi tu wa kupoteza points kama alivyoanzaga eymael.
Hata chekechea Wa IST unaweza kuta ni darasa la 3 au 4 pale St. Kayumba primary school mkuu[emoji16][emoji16]Hahahaha, sawa sawa mtani, mwalimu chekekechea IST si sawa na mwalimu std 1 ,kipunguni primary
Binafsi naamini atafanya vzr
Ujue nimewakumbuka hao Polisi Tanzania ya kina Nchimbi walivyotukaziaga hapo Taifa sasa nikiwafikiria naona kocha anapaswa kupanga kikosi ambacho kitaweza kusaka matokeo mapema.Mtani ,Yanga haipotezi point taifa mwaka huu
Yap yap nami pia naamini atafanya vyema na ndio sababu upande wa pili wako kimyaa kusubiri waone baya lake pale game za VPL zitakapoanza.Hahahaha, sawa sawa mtani, mwalimu chekekechea IST si sawa na mwalimu std 1 ,kipunguni primary
Binafsi naamini atafanya vzr
Naomba huu ujumbe uwe mahsusi kwa Penison. 😂😂😂 bila kumsahau Troisième Ceil.[emoji16][emoji16]hilo halinipi shida mkuu. Mpira ni ule ule, mifumo yake ni ileile,malengo ni yaleyale n.k. Na Naamini kupewa kandarasi ya kufundisha chekechea ya Barcelona si kila mwalimu anaweza kushinda. Naiona yanga ikiwa na vinasaba vya barca hivi mtani siku za usoni hapo[emoji23][emoji23]