Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Hahahaha, naona watani wenu wanasema mna kocha wa chekechekea ni kweli ?
[emoji16][emoji16]hilo halinipi shida mkuu. Mpira ni ule ule, mifumo yake ni ileile,malengo ni yaleyale n.k. Na Naamini kupewa kandarasi ya kufundisha chekechea ya Barcelona si kila mwalimu anaweza kushinda. Naiona yanga ikiwa na vinasaba vya barca hivi mtani siku za usoni hapo[emoji23][emoji23]
 
Hahahaha, sawa sawa mtani, mwalimu chekekechea IST si sawa na mwalimu std 1 ,kipunguni primary

Binafsi naamini atafanya vzr
 
Yap yap nami pia naamini atafanya vyema na ndio sababu upande wa pili wako kimyaa kusubiri waone baya lake pale game za VPL zitakapoanza.
 
[emoji16][emoji16]hilo halinipi shida mkuu. Mpira ni ule ule, mifumo yake ni ileile,malengo ni yaleyale n.k. Na Naamini kupewa kandarasi ya kufundisha chekechea ya Barcelona si kila mwalimu anaweza kushinda. Naiona yanga ikiwa na vinasaba vya barca hivi mtani siku za usoni hapo[emoji23][emoji23]
Naomba huu ujumbe uwe mahsusi kwa Penison. 😂😂😂 bila kumsahau Troisième Ceil.
 
20201017_072424.jpg

😂😂
 
Back
Top Bottom