Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Ni kweli kabisa Mkuu mtoto wa IST full exposure ,hahahahaHata chekechea Wa IST unaweza kuta ni darasa la 3 au 4 pale St. Kayumba primary school mkuu[emoji16][emoji16]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli kabisa Mkuu mtoto wa IST full exposure ,hahahahaHata chekechea Wa IST unaweza kuta ni darasa la 3 au 4 pale St. Kayumba primary school mkuu[emoji16][emoji16]
Hakika.Cha kwanza cha muhimu ni kuona timu inacheza vizuri,inashambulia na kutengeneza nafasi. Tumpe tu muda huyu kijana
Hawa watakuwa ni sehemu ya wale wana Simba wanaosafiri na yanga kila mechi ili kuhakikisha yanga inafungwa kama wale walopigwa na Dada Jesca kule morogoro[emoji16]Naomba huu ujumbe uwe mahsusi kwa Penison. [emoji23][emoji23][emoji23] bila kumsahau Troisième Ceil.
Teacher kakutana na teacher
Na si ajabu ndo hawa hawa walichezea kichapo. (Jokes)Hawa watakuwa ni sehemu ya wale wana Simba wanaosafiri na yanga kila mechi ili kuhakikisha yanga inafungwa kama wale walopigwa na Dada Jesca kule morogoro[emoji16]
Amefundisha timu gani na Ameipa makombe mangapi, Kocha hana Rekodi yoyote ya maana ni sawa na kusema amekuja kujifunza u kocha Yanga.Hamjawahi kosa kasoro nyie na ukiona mpaka sasa hamna maneno zenu za hovyo ujue Kaze hana baya.
Hahahaha, Mkuu kabla ya Sven kuwa kocha Simba Sc unaweza kutaja CV yake alikokua? alitwa kombe gani ? au kupata tuzo gani ? Km sio kaanza kupata akiwa hapo msimbazi ?Amefundisha timu gani na Ameipa makombe mangapi, Kocha hana Rekodi yoyote ya maana ni sawa na kusema amekuja kujifunza u kocha Yanga.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Na si ajabu ndo hawa hawa walichezea kichapo. (Jokes)
Fake Id hizi. [emoji23][emoji23][emoji23] [emoji2088][emoji2088][emoji2088]
Nilikuwa njiani kuuliza hilo ndugu!Hahahaha, Mkuu kabla ya Sven kuwa kocha Simba Sc unaweza kutaja CV yake alikokua? alitwa kombe gani ? au kupata tuzo gani ? Km sio kaanza kupata akiwa hapo msimbazi ?
Hahahaha, wataleta picha akiwa mpanga koni timu ya taifa ya Cameroon ..Nilikuwa njiani kuuliza hilo ndugu!
Hahahaha, Mkuu kabla ya Sven kuwa kocha Simba Sc unaweza kutaja CV yake alikokua? alitwa kombe gani ? au kupata tuzo gani ? Km sio kaanza kupata akiwa hapo msimbazi ?
Akiwajibu mnitag jamani.Nilikuwa njiani kuuliza hilo ndugu!
Mtani ,tatizo Tanzania tunapenda ubishi wa kijinga, ndio maana ktk soka ni wasindikizaji tuAkiwajibu mnitag jamani.
SvenHahahaha, Mkuu kabla ya Sven kuwa kocha Simba Sc unaweza kutaja CV yake alikokua? alitwa kombe gani ? au kupata tuzo gani ? Km sio kaanza kupata akiwa hapo msimbazi ?
Kocha gani hata WIKIPEDIA Haimtambui Leta CV yake hapa tuone sasa.Mtani ,tatizo Tanzania tunapenda ubishi wa kijinga, ndio maana ktk soka ni wasindikizaji tu
Juzi tu walikua wanasema kocha wao wa vijana Leo hii wamesahau