babu na mjukuu
JF-Expert Member
- Jun 23, 2016
- 3,916
- 6,697
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahsante Shadeeya ila wale jamaa kwa nini wanatunyanyasa hivi? leo nilitarajia Pira Dikodiko Lahaula! nimeambulia Pira Gwaride.Hakika usemalo Mtani.
Ahsante Mtani nawe pole kwa kufungwa kipigo chembamba. Teh. 😂😂😂
HahahaaImeishia kwenye bati hii. 😂😂
Ha ha haTwende kwa mikia sasa
Pira mbilimbi zilizooza!Nimesikia kulikuwa na pira kande huko. [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kipigo chembamba!Hakika usemalo Mtani.
Ahsante Mtani nawe pole kwa kufungwa kipigo chembamba. Teh. [emoji23][emoji23][emoji23]
Sikasikii ila ngoja tuone matokeo yao hapo baadae Mana Leo ndio wanacheza!
Pira gwaride.Nimesikia kulikuwa na pira kande huko. 😂😂😂
Chenye maumivu mpaka kumoyo. 😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kipigo chembamba!
Hahahahaaa. Pole ndo ukubwa Mtani.Ahsante Shadeeya ila wale jamaa kwa nini wanatunyanyasa hivi? leo nilitarajia Pira Dikodiko Lahaula! nimeambulia Pira Gwaride.
Life is not fair. 😐
😂😂😂😂Pira mbilimbi zilizooza!
Alilia jana masikini!!Hahahahaaa. Pole ndo ukubwa Mtani.