Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Nina wasiwasi na Captain Lamine sijui kama ataeza maliza mechi mana alikuwa anachechemea.
 
Hiki ndo kikosi ambacho mpaka sasa kimemshika mtu sharubu.
20201107_175753.jpg
 
Dkk ya 68

Sarpong anatoka anaingia Yacouba.
Historia mbovu ya Sven inawalinda , saa hz ilitakiwa muwe mshakufa kwa huu msako, ila wataruka ruka weeee lkn wapi

Alishatanguliwa tu huyu kiazi ndio basi tena hahahaha
 
Back
Top Bottom