Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HongereniHALF TIME
YANGA 1 SIMBA 0
Jana kocha alisema alikuwa sick na Malaria.Aiseee yule ndo anajua kuwapiga mpira sambusa
Mtani haya ni maneno yako kweli. 😂😂😂Hongereni
nadhani hii mechi mmeshinda , kishingo hajawah pindua tokeo hata mara moja, akitanguliwa tu imeisha hiyo
Tusubiri tuone Mtani. Huenda leo ikawa kinyume chake mkakomboa na kuongeza.Hongereni
nadhani hii mechi mmeshinda , kishingo hajawah pindua tokeo hata mara moja, akitanguliwa tu imeisha hiyo
Oohh okayJana kocha alisema alikuwa sick na Malaria.
Hahahahaaaa. Anashangaa mana leo Miquison sijui Chama hawaonyeshi hilo biriani lao.Where is pira biriani???? Amesikika Sven akiuliza
Niko nae tokea mwez wa pili huyu, akitanguliwa tu , hesabu imeisha, hamna ujanjaMtani haya ni maneno yako kweli. [emoji23][emoji23][emoji23]
Naona hii Second half mmekuja kwa kasi zaidi Mtani mnaeza komboa.Niko nae tokea mwez wa pili huyu, akitanguliwa tu , hesabu imeisha, hamna ujanja
watapambana weee ila mambo ni haya hayaNaona hii Second half mmekuja kwa kasi zaidi Mtani mnaeza komboa.
Historia mbovu ya Sven inawalinda , saa hz ilitakiwa muwe mshakufa kwa huu msako, ila wataruka ruka weeee lkn wapiDkk ya 68
Sarpong anatoka anaingia Yacouba.