Wilbert255
Member
- Apr 15, 2020
- 27
- 28
Mikia fc mnafuata nini huku mnatapatapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimetoka na masikitiko sana,hii game ilikuwa yetu kabisa,mbinu za kuanza kujilinda mapema ilikuwa mistake kubwa sana,ila ndiyo matokeo cos sare ni advantage kwetuMkuu Chikwuemeka tuna jambo letu huku najua uko Taifa saa hii.
Mikia fc mnafuata nini huku mnatapatapa
Tuliwatanguliza na baiskeli ya barafu asubuhi tulijua tu jua likiwaka tutawakuta njiani mmedodaSawa mtani leo shangilia drow maana nilikukaba Koo hadi dkk 86 ndo unarudi mchezoni
Mwanakondoo ndiye aliye shindaHahahah kwahiyo mmeshinda au sio?
Mkuu Kaze ni kocha mzuri, Tactically mechi aliimaliza mapema tu,shida baadhi ya wachezaji wakienda mbele Maturity yao zero kabisa, Mechi km ile usifanye makosa ukadhani unacheza na Gwambina.Kikosi chetu chinya ya kaze msimu ujao hakutakuwa na team ya kutufunga ukanda huu wa East and central africa, wachezaji wetu wanautaka sana Kila mchezaj anahali na anataka kucheza.
Mbeleni tutakuwa na team nzuri sana, hii international break waitumie vizuriMkuu Kaze ni kocha mzuri, Tactically mechi aliimaliza mapema tu,shida baadhi ya wachezaji wakienda mbele Maturity yao zero kabisa, Mechi km ile usifanye makosa ukadhani unacheza na Gwambina.
Aina ya mbinu ya Yanga (game plan) ilikuwa ile ile kwanzia kipindi cha kwanza hadi kipindi cha pili. Ni kuwacha Simba wacheze kisha kufanya making na kushambulia kwa kasi pindi yanga wanapopata mpira. Tulifeli baada ya kuumia lamine moro +nafasi za wazi tumekosa+ kutokuwa na option kubwa ya viongo wakabaji na beki visiki kwenye benchiNimetoka na masikitiko sana,hii game ilikuwa yetu kabisa,mbinu za kuanza kujilinda mapema ilikuwa mistake kubwa sana,ila ndiyo matokeo cos sare ni advantage kwetu
Kikosi chetu chinya ya kaze msimu ujao hakutakuwa na team ya kutufunga ukanda huu wa East and central africa, wachezaji wetu wanautaka sana Kila mchezaj anahali na anataka kucheza.
We kweli mjingamimi,hii mbona mlishangilia!!Kaka penati Kaka..
Mnajifanya hamuoni
Kabisa maana tumekosa clear chances Tatu kabisa ya FEI toto dk za mwisho, faridi nae alizingua kwenye Sita na kichwa cha mwamnyetoMkuu Kaze ni kocha mzuri, Tactically mechi aliimaliza mapema tu,shida baadhi ya wachezaji wakienda mbele Maturity yao zero kabisa, Mechi km ile usifanye makosa ukadhani unacheza na Gwambina.
We kweli mjingamimi,hii mbona mlishangilia!!View attachment 1621754
Onyango alimshikq mguu tuisila ndani ya boxWe kweli mjingamimi,hii mbona mlishangilia!!View attachment 1621754
we macho yako yanaona kweli? mkono wa Onyango wala haujashika mguu, ni angle ya mpiga picha inakupotoshaOnyango alimshikq mguu tuisila ndani ya boxView attachment 1621829
Tatzo ndugu zetu mnasahau haraka, penalty Kama ile ilitokea mwaka Jana kagere alichezewa faulo na yondani nje refa jonesia akaweka tutaKaka penati Kaka..
Mnajifanya hamuoni
Tatzo ndugu zetu mnasahau haraka, penalty Kama ile ilitokea mwaka Jana kagere alichezewa faulo na yondani nje refa jonesia akaweka tuta
Kingine first half Simba hamkuwa na on target, game yote mmetuzidi possession tu
Tatzo ndugu zetu mnasahau haraka, penalty Kama ile ilitokea mwaka Jana kagere alichezewa faulo na yondani nje refa jonesia akaweka tuta
Kingine first half Simba hamkuwa na on target, game yote mmetuzidi possession tu