Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Hilo sahau this season.Hayaa bingwa si mnamjua.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo sahau this season.Hayaa bingwa si mnamjua.
Yees!! Tuamini katika wakati Ses kwani pia haiwezi kuwa ajabu aliyenuna sasa akaendelea kununa mpaka mwisho wa msimu. Teh teh.Wakati ndio utaamua Shadeeya. Muda si mrefu wanaocheka watanuna. Ninavyowajua Wananchi yale mahaba kwa Kaze yatapotea na yatafuatia matusi na kashfa🤣🤣🤣🤣
#Churafcsiowavumilivukwamakocha
Nikubaliane na wewe jambo moja. Atakayecheka mwisho ndio atakayecheka sanaYees!! Tuamini katika wakati Ses kwani pia haiwezi kuwa ajabu aliyenuna sasa akaendelea kununa mpaka mwisho wa msimu. Teh teh.
Zimezagaa kama za Chama ila sijapata uhakika aseeHizo habari za Mr Senzo Mbatha yupo osterbay kakamatwa ni kweli?
Ni kweli
Ngoja nione vigezo na masharti huenda na mie nikashiriki. 😎😎
Ukiwepo nami nitakuja kushirikiNgoja nione vigezo na masharti huenda na mie nikashiriki. [emoji41][emoji41]
😀😀Ukiwepo nami nitakuja kushiriki
Tena naweza kutabiri washindi.Ngoja nione vigezo na masharti huenda na mie nikashiriki. 😎😎
Chama kapewa moja na simba na mshahara mnono na pesa ya usajili nono.