Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Maana Wananchi sasa hivi mnafurahia kua Mbio FC😀😀😀
Mbona Logo yetu inaongea. Yanga si ya mchezo mmoja.
Young_Africans_SC_(logo).png
 
Tuisila anakimbia mpaka mpira anauacha nyuma, labda aliambiwa Yanga ni klabu ya riadha na mashindano yatakua kati yao na Simba😀😀😀
 
Back
Top Bottom