Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Uwiiii!!!Tena naweza kutabiri washindi.
No. 1. Tuisila,
No. 2. Shadeeya 😀😀😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uwiiii!!!Tena naweza kutabiri washindi.
No. 1. Tuisila,
No. 2. Shadeeya 😀😀😀
Maana Wananchi sasa hivi mnafurahia kua Mbio FC😀😀😀Uwiiii!!!
Mbona Logo yetu inaongea. Yanga si ya mchezo mmoja.Maana Wananchi sasa hivi mnafurahia kua Mbio FC😀😀😀
Kwa hilo nimekubali. Yeye alikuja kama mfukuza upepo wa mbio za mita mia. Bolt anasubiri aiseeMbona Logo yetu inaongea. Yanga si ya mchezo mmoja.
View attachment 1625314
Aliamua tu kuwatia aibu mababu wenu. 😂😂😂Tuisila anakimbia mpaka mpira anauacha nyuma, labda aliambiwa Yanga ni klabu ya riadha na mashindano yatakua kati yao na Simba😀😀😀
😀😀😀Kwa hilo nimekubali. Yeye alikuja kama mfukuza upepo wa mbio za mita mia. Bolt anasubiri aisee
[emoji16][emoji16][emoji16] aiseee hadi ngumi zipo tumrudishe Morison tumuandalie pambano na mzee wa show showMbona Logo yetu inaongea. Yanga si ya mchezo mmoja.
View attachment 1625314
😀😀😀 inabidi aisee.[emoji16][emoji16][emoji16] aiseee hadi ngumi zipo tumrudishe Morison tumuandalie pambano na mzee wa show show
Mikia kweli ni ma mbumbumbuNgumi zimelika huko.
Kisa mukoko.hatari babaaa.
Zimepigwa ngumi za uzito wa juu.[emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Ila Simba Wana dhambi.View attachment 1625385
Mikia kweli ni ma mbumbumbuView attachment 1625479
Haya sasa uko wapi leo Tunisia au kwenye Ngumi maana Mambo mengi muda nimchache[emoji3][emoji3][emoji3] inabidi aisee.
[emoji16][emoji16][emoji16]Ngumi zimelika huko.
Kisa mukoko.hatari babaaa.
Zimepigwa ngumi za uzito wa juu.[emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Ila Simba Wana dhambi.View attachment 1625385
Ahaa, ni kama zile za Kishingo na Kagere?Ngumi zimelika huko.
Kisa mukoko.hatari babaaa.
Zimepigwa ngumi za uzito wa juu.[emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Ila Simba Wana dhambi.View attachment 1625385
Ahaa, ni kama zile za Kishingo na Kagere?