Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

20201122_205839.jpg
 
Sawa.ukibebwa bebeka.ila Leo mmeshindwa kubebeka
Nikukumbushe tu pia hao hao ndio wamefanya ukawa bingwa mara tatu na mara zote ulishangilia mbaya na hamna siku ulichukia vile wamekubeba kwa baadhi ya mechi.
 
Mara ya Mwisho YANGA Kushinda Cement ilikua haijapanda Bei

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] pole ntani, penalty ya dakika hizo unaweza zimia

suluhu ya tatu mfulilizo
Ahsante Ntani ndo soka lilivyo.

Wacha kabisa nilijikuta nashindwa kukaa mana pale nilikuwa najua washachukua points tatu. 😂😂😂
 
Back
Top Bottom