Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikukumbushe tu pia hao hao ndio wamefanya ukawa bingwa mara tatu na mara zote ulishangilia mbaya na hamna siku ulichukia vile wamekubeba kwa baadhi ya mechi.
Vile naomba suluhu mechi yenu vs Azam.. niwapite wote kwa pamojaHuu ndio ukweli ambao wengi hawaombei iwe hivyo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] pole ntani, penalty ya dakika hizo unaweza zimiaUuwiiii!!! Namungo wanapata penalti. [emoji848]
Unaona mbaliKwa masikitiko makubwa niseme... simba ni bingwa tena msimu huu
Na si ajabu matokeo yakawa namna hiyo. Ila hatukati tamaa.Vile naomba suluhu mechi yenu vs Azam.. niwapite wote kwa pamoja
Ahsante Ntani ndo soka lilivyo.[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] pole ntani, penalty ya dakika hizo unaweza zimia
suluhu ya tatu mfulilizo
Siku sio nyingi tutalala mungine utakaoletwa na hisani ya Plateau. Teh.Usingizi wa leo unaletwa kwenu kwa hisani ya namungo[emoji16][emoji16][emoji16]
Mtani kama nakuona furaha kama zote Lol.ZIMEBAKI 2 TUNA KUMBUSHANA TU.