Kitombise
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 8,575
- 25,619
jitahidini mpate hata goli 4 maana tokea msimu umeanza hamjawahi pata idadi hiyo ya magoli.Mkuu subiri mkuu 😀😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jitahidini mpate hata goli 4 maana tokea msimu umeanza hamjawahi pata idadi hiyo ya magoli.Mkuu subiri mkuu 😀😀
😀ni ya kitaifa(vpl) mkuu siyo ya kimataifaNauliza tu. Ni mechi ya kimataifa kwan?
Una majungu tu mkuu, hata ikiwa goli 1 muhimu point 3jitahidini mpate hata goli 4 maana tokea msimu umeanza hamjawahi pata idadi hiyo ya magoli.
hata ikiisha 2-1 muhimu point 3 tuUna majungu tu mkuu, hata ikiwa goli 1 muhimu point 3
Wacha wivu wa kike weweNauliza tu. Ni mechi ya kimataifa kwan?
Kesho Simba inacheza huko Mbeya. Vipi ni mechi ya kimataifa? Kama sio ya kimataifa kwanini Simba wasigomee kucheza mechi ambayo siyo ya kimataifa?Nauliza tu. Ni mechi ya kimataifa kwan?
Achana zuzu a.k.a mbumbumbuKesho Simba inacheza huko Mbeya. Vipi ni mechi ya kimataifa? Kama sio ya kimataifa kwanini Simba wasigomee kucheza mechi ambayo siyo ya kimataifa?
Mmeotea kibonde hakuna cha injini iliyowashwaInjini moja imewashwa m2 kala mkono. Sasa subiri tunakoelekea Kuna w2 wataombapooo, maana yajayooo...........
Basi tunafuta magoli yote manne, tubakishe goli moja pekee. Haya hapo vipi anayeongoza ligi nani?Mmeotea kibonde hakuna cha injini iliyowashwa
Ongozeni tu mwisho mnatambua mwenye mwali ni naniBasi tunafuta magoli yote manne, tubakishe goli moja pekee. Haya hapo vipi anayeongoza ligi nani?
Tutaendelea kuotea hivyo hivyo Hadi mwezi wa tano mwakani, kampeni ya kurejesha kombe letu tutakuwa tumekamilisha. Kilichopo kila timu ishinde zake. Kumbuka biashara asubuhi, jioni majumuhisho tu.Mmeotea kibonde hakuna cha injini iliyowashwa
Unajifariji,umekariri wewe inaonekana roho inakuuma sana na utaumia sana zaidi ya sana.Kumbuka Yanga ile siyo hiiOngozeni tu mwisho mnatambua mwenye mwali ni nani
Roho wala haiumiUnajifariji,umekariri wewe inaonekana roho inakuuma sana na utaumia sana zaidi ya sana.Kumbuka Yanga ile siyo hii
Sasa mkuu anayeongoza mpaka mwisho si ndio mwenye mwali? Au unataka sisi tuongoze tuu hadi mwisho halafu nyie mtamuiba mwali? Au uliposema ongozeni tu umemaanisha nini?Ongozeni tu mwisho mnatambua mwenye mwali ni nani
I mean mnaongoza ikifika mahali mnarudi kwenye uhalisia wenuSasa mkuu anayeongoza mpaka mwisho si ndio mwenye mwali? Au unataka sisi tuongoze tuu hadi mwisho halafu nyie mtamuiba mwali? Au uliposema ongozeni tu umemaanisha nini?
Kila la heri tukutane MayTutaendelea kuotea hivyo hivyo Hadi mwezi wa tano mwakani, kampeni ya kurejesha kombe letu tutakuwa tumekamilisha. Kilichopo kila timu ishinde zake. Kumbuka biashara asubuhi, jioni majumuhisho tu.
Kama wewe ulivyootewa na kupapaswa na Ruvushooting ya Masau BwireMmeotea kibonde hakuna cha injini iliyowashwa