zanzibakwetu
JF-Expert Member
- Nov 6, 2014
- 618
- 377
Wewe subiri klabu bingwa ukapigwe tano Kama ulivyozoea na urudi hapa nyumbaniI mean mnaongoza ikifika mahali mnarudi kwenye uhalisia wenu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe subiri klabu bingwa ukapigwe tano Kama ulivyozoea na urudi hapa nyumbaniI mean mnaongoza ikifika mahali mnarudi kwenye uhalisia wenu
Raha tupu mikia wanaumia ,imewakera sana na wallah nakwambia Hawa mikia tukikutana nao raundi ya pili ni kuwafumua mpaka wakomeFuraha kila konaView attachment 1648186
Hapo mahali ndio mji gani? Kwa iyo mnasubiri tufike hapo mahali? Nyie mshafika tayari? Zimebaki Kilometer ngap tufike Mahali?I mean mnaongoza ikifika mahali mnarudi kwenye uhalisia wenu
Ntibazonkiza huyooo tarehe zimefika mtakoma mikia tunashinda mwanzo mwisho msimu huu hatupotezi mechi hata moja na huo ndiyo mpango uliopo ni kipigo tu kwenda mbeleKila la heri tukutane May
Sawa mkuu hapo nimekuelewa. Je unaweza kuniambia labda tutegemee lini tutaanza kushuhudia Yanga ikianza kurudi kwenye nafasi yao?I mean mnaongoza ikifika mahali mnarudi kwenye uhalisia wenu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]KWA HII YANGA ILIVYO KWA SASA WA KUIZUIA NI MUNGU MWENYEWE MUUMBA WA VYOTE!
Hatari mkuu.Furaha kila konaView attachment 1648186
Yule mocha wenu alishasema. Mashabiki wa Yanga ni "uneducated people na akaenda mbali kdgo kwa kuwaita MINYANI na MI MBWA ya kubwekabweka. Hv kwa mechi moja tu mmebadilisha KAULI ZENU. Ngoja mechi zjazo mambo yakiwa kimoja kimoja KWA UNYANI WENU mtarudia tena OOH BADO TIMU HAINA MUUNGANIKO. Huo ndio UNYANI na U MBWA[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Vp furaha za kimataifa? Au ndio wa hapa hapa?Hatari mkuu.
Unajua kuwaumiza mioyo, Hawa wazee wa pori, wanaogopa kusema timu mliocheza nayo ni mbovu, kwa sababu iliwapa kichapo. Sasa wako kimya kama maji mtungini.Ntibazonkiza huyooo tarehe zimefika mtakoma mikia tunashinda mwanzo mwisho msimu huu hatupotezi mechi hata moja na huo ndiyo mpango uliopo ni kipigo tu kwenda mbele
Nawe unajisahaulisha zle 4-1Unajua kuwaumiza mioyo, Hawa wazee wa pori, wanaogopa kusema timu mliocheza nayo ni mbovu, kwa sababu iliwapa kichapo. Sasa wako kimya kama maji mtungini.
Zinaanza za hapa na baadae za kimataifa.Vp furaha za kimataifa? Au ndio wa hapa hapa?
Mtaendelea kuwa wa hapa hapa mpka bas. Km mlivyofanya nyie ktk utawala wa Jk. Ndio hvyoZinaanza za hapa na baadae za kimataifa.
Kila chenye mwanzo kina mwisho, tuombe uzima tu.Mtaendelea kuwa wa hapa hapa mpka bas. Km mlivyofanya nyie ktk utawala wa Jk. Ndio hvyo
Du!,umeandika kwa hisia na hasira kali sana,punguza hasira ,maana unaweza kumtafuna mtu.Yule mocha wenu alishasema. Mashabiki wa Yanga ni "uneducated people na akaenda mbali kdgo kwa kuwaita MINYANI na MI MBWA ya kubwekabweka. Hv kwa mechi moja tu mmebadilisha KAULI ZENU. Ngoja mechi zjazo mambo yakiwa kimoja kimoja KWA UNYANI WENU mtarudia tena OOH BADO TIMU HAINA MUUNGANIKO. Huo ndio UNYANI na U MBWA
Hasira ni kwa kuwa anajua Yanga kaishakuwa bingwa,mechi zilizobaki ni za kukamilisha ratiba tu.Du!,umeandika kwa hisia na hasira kali sana,punguza hasira ,maana unaweza kumtafuna mtu.
Kanuni zimetoa uhuru kwa timu kuchagua mechi moja ambapo watacheza nje ya uwanja wa nyumbani ndiyo maana Kmc walichagua Kirumba na Yanga wamechagua ArushaHivi kwanini game ya KMC vs Yanga ilichezewa kirumba na
Game ya Dodoma jiji FC vs Yanga inachezewa Arusha?
Note: game ya Jkt Tanzania vs Biashara United imechezewa Dodoma, so uwanja hauna shida yeyeto