Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Yule mocha wenu alishasema. Mashabiki wa Yanga ni "uneducated people na akaenda mbali kdgo kwa kuwaita MINYANI na MI MBWA ya kubwekabweka. Hv kwa mechi moja tu mmebadilisha KAULI ZENU. Ngoja mechi zjazo mambo yakiwa kimoja kimoja KWA UNYANI WENU mtarudia tena OOH BADO TIMU HAINA MUUNGANIKO. Huo ndio UNYANI na U MBWA
 
Ntibazonkiza huyooo tarehe zimefika mtakoma mikia tunashinda mwanzo mwisho msimu huu hatupotezi mechi hata moja na huo ndiyo mpango uliopo ni kipigo tu kwenda mbele
Unajua kuwaumiza mioyo, Hawa wazee wa pori, wanaogopa kusema timu mliocheza nayo ni mbovu, kwa sababu iliwapa kichapo. Sasa wako kimya kama maji mtungini.
 
Yule mocha wenu alishasema. Mashabiki wa Yanga ni "uneducated people na akaenda mbali kdgo kwa kuwaita MINYANI na MI MBWA ya kubwekabweka. Hv kwa mechi moja tu mmebadilisha KAULI ZENU. Ngoja mechi zjazo mambo yakiwa kimoja kimoja KWA UNYANI WENU mtarudia tena OOH BADO TIMU HAINA MUUNGANIKO. Huo ndio UNYANI na U MBWA
Du!,umeandika kwa hisia na hasira kali sana,punguza hasira ,maana unaweza kumtafuna mtu.
 
Hivi kwanini game ya KMC vs Yanga ilichezewa kirumba na
Game ya Dodoma jiji FC vs Yanga inachezewa Arusha?

Note: game ya Jkt Tanzania vs Biashara United imechezewa Dodoma, so uwanja hauna shida yeyeto
 
Kanuni zimetoa uhuru kwa timu kuchagua mechi moja ambapo watacheza nje ya uwanja wa nyumbani ndiyo maana Kmc walichagua Kirumba na Yanga wamechagua Arusha
 
Back
Top Bottom