Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatimae leo mmeona umuhimu wa goli mojajitahidini mpate hata goli 4 maana tokea msimu umeanza hamjawahi pata idadi hiyo ya magoli.
Huwa wanajitoa akili haoHatimae leo mmeona umuhimu wa goli moja
Unafikiri hawajui umuhimu gori moja, huwa wanajitoa ufahamu. Leo wako kimya na gori moko.Huwa wanajitoa akili hao
Vijora fc
Umenena vyema mkuuKWA HII YANGA ILIVYO KWA SASA WA KUIZUIA NI MUNGU MWENYEWE MUUMBA WA VYOTE!
Mavi ya kale hayoNawe unajisahaulisha zle 4-1
Yakale WAP? Mnazkumbuka haswa. Zle goli ndio zimewafanya mbaki hapa home wa mchangani. Ile nafas tukampa Namungo fcMavi ya kale hayo
Ule mchezo wachezaji watia hujuma, na wote tumewatimua, nina wasiwasi rupia ilipenyezwa kwa wachezaji ndiyo mkashinda ile mechi.Yakale WAP? Mnazkumbuka haswa. Zle goli ndio zimewafanya mbaki hapa home wa mchangani. Ile nafas tukampa Namungo fc
Siyo wasiwasi, ndivyo walivyofanyaUle mchezo wachezaji watia hujuma, na wote tumewatimua, nina wasiwasi rupia ilipenyezwa kwa wachezaji ndiyo mkashinda ile mechi.
Kalale wewe.Nawe unajisahaulisha zle 4-1
ZnakukeraKalale wewe.
Hz ndizo mechi za Yanga za kimataifa. Daaah wana shida hawa vjola fc[emoji460]View attachment 1650135
Maumivu yakizidi muone dakitariHz ndizo mechi za Yanga za kimataifa. Daaah wana shida hawa vjola fc