Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa CCL haiendi timu itakayokua ya pili kwenye VPL, au unazungumzia nyinyi kwenda kombe la shirikisho?😀😀😀Hizi kauli ifikie hatua muziache kwani kama kwenda Kimataifa tutakwenda kwa nguvu zetu pasi kumtegemea yeyote.
Umefanya nimecheka kwa ulichokiandika. Lol.Sasa CCL haiendi timu itakayokua ya pili kwenye VPL, au unazungumzia nyinyi kwenda kombe la shirikisho?😀😀😀
ligu kuu msimu huu wameongeza option ya timu yoyote kuchagua game mbili wachague uwanjaaaHivi kwanini game ya KMC vs Yanga ilichezewa kirumba na
Game ya Dodoma jiji FC vs Yanga inachezewa Arusha?
Note: game ya Jkt Tanzania vs Biashara United imechezewa Dodoma, so uwanja hauna shida yeyeto
Halafu kama sijaelewa hivi hivyo next round huo Uwanja wa Arusha ndo utaendelea kuwa Uwanja wetu wa nyumbani au mwisho ni game ya leo?ligu kuu msimu huu wameongeza option ya timu yoyote kuchagua game mbili wachague uwanjaaa
Mwisho leo tu.Halafu kama sijaelewa hivi hivyo next round huo Uwanja wa Arusha ndo utaendelea kuwa Uwanja wetu wa nyumbani au mwisho ni game ya leo?
Kalale wewe.Hz ndio mechi za kimataifa za vjola fc. a.k.a wa mama wa MADELA
Sawa blaza.Mwisho leo tu.
Hili lakuchagua uwanja wemefanya KMC walitupekeka CCM kirumba
Costal Union pia walipocheza game na Simba walichagua uwanja wa Uhuru
Huyo huyo kacheza dakika 45 ana goli moja na assist mojaSaid Ntibatunganya?!
pamoja sanaKuna mambo zinanizonga huu mwezi Mtani nadhani siku si nyingi ntazimaliza.