Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Au Mo muamala fc.Shem wa kutufunga mpaka sasa labda Mahakama tu. 😂😂😂
😂😂😂Au Mo muamala fc.
Ila tusipofanya makosa Second Round msimu huu 2020 / 2021 kombe la VPL ni la kwetu Shem.Au Mo muamala fc.
Hivi kaseke hawezi kurudi mbeya halafu wakati anakuja Dar tumpokee pale uwanja was ndege maana.....Ila tusipofanya makosa Second Round msimu huu 2020 / 2021 kombe la VPL ni la kwetu Shem.
Inaezekana ujue. 😂😂😂😂😂😂 lolHivi kaseke hawezi kurudi mbeya halafu wakati anakuja Dar tumpokee pale uwanja was ndege maana.....
Huyu Kaseke ilitakiwa aongezewe mkataba kabla hata ya Haruna juzi. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Inaezekana ujue. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] lol
Kaseke anatisha mbaya now days.
VP saidoo aliasisit Jana kwel??
Na kweli Shemeji. Japo sijajua kwani mkataba wake unaisha lini?Huyu Kaseke ilitakiwa aongezewe mkataba kabla hata ya Haruna juzi. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sina kumbukumbu ya dkk alizocheza lakini alicheza first half na second half kidogo.Asantee!!
Alicheza dk ngp?
Hahhaha yanga anapasua anga tu kwa njia zote....ndio bingwa anavyokua[emoji1787][emoji1787][emoji1787]MCHEZO WA YANGA VS SINGIDA WAFUTWA
“Kufuatia klabu ya Singida United kushushwa madaraja mawili, mchezo wa Azam Sports Federation (ASFC) namba 65 kati ya Young Africans v Singida United uliokua uchezwe Jumamosi Desemba 26, 2020 hautakuwepo, hivyo Young Africans sasa wanasubiri kucheza raundi ya nne 2021” Taarifa ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF).