Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alitoa ahadi lini na wapi??Kaze atuachie timu yetu. Alituahidi tutakuwa tunacheza kama barcelona ila mpaka sasa tunabutua butua tu. Bora arudi Mkwasa.
Kama unampenda sana Mkwasa kamtafute unywe nae chaiKaze atuachie timu yetu. Alituahidi tutakuwa tunacheza kama barcelona ila mpaka sasa tunabutua butua tu. Bora arudi Mkwasa.
Sarpong ni mchezaji mzuri anayepitia magumu,na sijui ni nini kinamkutaLeo hapa sijaona foward ya kutupa bao la mapema!!!
Magumu gani bana, unapata.mshahara mkubwa posho, tumesajili kwa mbwembwe kile ndio kiwango anapaswa kuonyesha mweli,Sarpong ni mchezaji mzuri anayepitia magumu,na sijui ni nini kinamkuta
[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12] kile kiti mlichombebea Kiko wapi[emoji23][emoji23][emoji23]Magumu gani bana, unapata.mshahara mkubwa posho, tumesajili kwa mbwembwe kile ndio kiwango anapaswa kuonyesha mweli,
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Lete matokeo Kati ya Utopolo na jamhuriMazoezi ya mwisho kuelekea mechi yetu na Jamhuri hapo baadae 20:15 kombe la Mapinduzi.View attachment 1669027
Na kwako pia Mtani. Adimu sana weye.Mtani Heri Ya Mwaka Mpya.
Karibu leo tuone mpira wa Kimataifa.