1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 9,552
- 13,090
[emoji38]Maji yamezidi unga
[emoji38]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji38]Maji yamezidi unga
kwahiyo ndio mmekuja kwenye uzi wetu kutuletea vurugu
Tukutaneee 23
Kwahisani ya Tation ally ahly
Hivi Siku hizi mapanga yanafunga magoli? Nauliza tu usikute kina Kagere na Morrison wana mapanga miguuni😂😂😂 Ila Yanga mtakuja mpigwe Ban moja takatifu na hamtaamini kitakachotokea.
UTABIRI;
• Yanga leo anashinda kwa ushindi mwembamba sana
•ushindi wa yanga leo utakuwa ni tofauti ya goli moja dhidi ya mpinzani wake.
msipopata hayo matokeo niliyoyatabiri basi mtapata SULUHU
Mwamnyeto siku hizi ana maboko likoloo sana,yule dogo Dickson Job sijui vp
Naona tangia tumsajili kimya labda Kocha hajaamua kumtumia bado.Mwamnyeto siku hizi ana maboko likoloo sana,yule dogo Dickson Job sijui vp
Kikosi nimekipenda,na Leo matokeo yakiwa mabaya basi nitaamini mchawi Wa Mikia hawezekaniki. Ninkikosi cha mashambulizi hiki
Job nadhani ni majeruhiMwamnyeto siku hizi ana maboko likoloo sana,yule dogo Dickson Job sijui vp
Jichanganyeni tu na waamuzi wenu. Mtawaponza tunawaambia!
Leo matokeo yapo.Kikosi nimekipenda,na Leo matokeo yakiwa mabaya basi nitaamini mchawi Wa Mikia hawezekaniki. Ninkikosi cha mashambulizi hiki