Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Mkuu timu bado mpya sana,kikubwa tuombee wachezaji muhimu tuendelee kuwa nao msimu ujao huku tukiachana na mizigo na kuleta wachezaji wazuri,imagine kuanzia ile Yanga ya kina ajibu,gadiel,makambo na juzi hapa morison,iwapo tungeendelea kuwa na hao wachezaji kipindi hiki wakaungana na kina mukoko,kisinda na saidoo at least tungekua na timu ya ubingwa,tuendelee kujenga timu huku tukizuia wachezaji waandamizi kuondoka
Mizigo kama yakin Fiston na Sappong sasa basi! Ni wakati sasa Mwambusi kumpa nafasi WAZIRI JUNIOR kama alivyowapa hao maproo!
WAZIRI JUNIOR hata kama hafungi ana FIRST TOUCH nzuri na ana ball control nzuri kuliko hao hapo, ni MODERN STRIKER type ya kina MUGALU hivi, sema makocha tulionao wote vilaza hawajui kumtumia, aina yake ya uchezaji haitofautian na FILMINHO wa Liverpool.
Nataman kuona front line ya KISILA, WAZIRI JUNIOR NA YACOUBA.
 
Kuna za chini ya kapeti KASEKE amemalizana na upande wa 2! Kama kweli viongozi wawe makini na mchezaji huyu tuyayemuamn, nanusa harufu ya hujuma, sababu mechi zake 2 za mwisho kama hasomeki hivi!
 
Kuna za chini ya kapeti KASEKE amemalizana na upande wa 2! Kama kweli viongozi wawe makini na mchezaji huyu tuyayemuamn, nanusa harufu ya hujuma, sababu mechi zake 2 za mwisho kama hasomeki hivi!
Mkuu kwa viongoz maamuma tulionao hawawez kutufikisha popote kaseke ashasaini Simba siyo za chini ya kapeti n ukweli huo
 
Kuna za chini ya kapeti KASEKE amemalizana na upande wa 2! Kama kweli viongozi wawe makini na mchezaji huyu tuyayemuamn, nanusa harufu ya hujuma, sababu mechi zake 2 za mwisho kama hasomeki hivi!
Acha uzwazwa kaseke sisi wa nini yanga tunamtaka mukoko pekee
 
Uto mpo??
napita kuwasalimia
nyie ndugu zangu japo mnaaibisha taifa letu teule.
 
Ielekee Mara ngapi dadangu ishatuua tayar had hapa Simba n bingwa lakn utamsikia BUMBULI sisi tunaongoza ligi s hao wengne mnaowasema

Jamaa hafiti kabisa ile nafas ile mil 5 ya faini Bora tungetengeneza chumba kimoja pale jangwani
Cha kupangisha ?

Kupangisha Fc
 
Hivi Yanga ina wazee kweli bado hamjagundua kuwa uwanja wa Taifa umedukuliwa na wabaya wenu kwanini hamshindi mechi zinazochezwa uwanja wa Mkapa wazee amkeni kuinusuru timu
 
Hivi Yanga ina wazee kweli bado hamjagundua kuwa uwanja wa Taifa umedukuliwa na wabaya wenu kwanini hamshindi mechi zinazochezwa uwanja wa Mkapa wazee amkeni kuinusuru timu

eb424bef-d5d9-4eec-928c-9e9259cfa3e2.jpg

Wazee wenyewe hao
 
Back
Top Bottom