mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Naona wabovu wamekutana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole Mkuu.Nasikitika leo kukosa kuona mambo mazuri yanayoendelea huko aisee!
Sawa.Naona wabovu wamekutana
Unateseka/Weweseka ukiwa wapi boss?Naona wabovu wamekutana
Burudani kabisa.Pole Mkuu.
Timu inacheza vizuri si haba.
Ngese weweNaona wabovu wamekutana
Yap! wasubirie tutakavyowaudhi July 3.Burudani kabisa.
Acha tuwape salaam!
Unateseka/Weweseka ukiwa wapi boss?
Mbona YANGA wanashangilia kwa kuingiza mkono kwenye mashine tata?
Afadhali, roho inauma sana points 2 zile za Namungu
Tungekuwa mbali sasa.Afadhali, roho inauma sana points 2 zile za Namungu
Mbali ya wapi?Tungekuwa mbali sasa.