kurlzawa
JF-Expert Member
- Jan 23, 2018
- 16,695
- 20,633
Tu bet dada angu Mimi biashara au sareHivyo unataka kusemaje eti?
Hamna cha kutuzuwia ujue. [emoji3]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tu bet dada angu Mimi biashara au sareHivyo unataka kusemaje eti?
Hamna cha kutuzuwia ujue. [emoji3]
Hapana mkuu, nipo mjini ratiba kidogo imebana ingekuwa kwa Ben hapo ningeweza kuforce mkuuVp umesafiri Mkuu kuifuata Biashara?
kila lakheri timu yangu ya utotoni Biashara united.Game ngumu ila kupata matokeo kwa Timu ya Wananchi haizuiliki.
Halafu kihere here cha kukutag wacha jana nichambwe. 🤣🤣🤣🤣kila lakheri timu yangu ya utotoni Biashara united.
Biashara nguvu moja
Hivi unajua hii mechi ni lazima mmoja apasuke.Tu bet dada angu Mimi biashara au sare
Najua betting mwisho dakika 90Hivi unajua hii mechi ni lazima mmoja apasuke.
Yaani ni Semi Final lazima mmoja aende Final.
Yap!! Wananchi tunashinda 2 au zaidi. 😎😎😎Tu bet dada angu Mimi biashara au sare
Leo tunawanyoosha hao.kila lakheri timu yangu ya utotoni Biashara united.
Biashara nguvu moja
Ndio. Mie nishatabiri hapo juu.Najua betting mwisho dakika 90
BIASHARA ANASHINDA MOJA BILA DEO JUDIKA DAKIKA YA 67 SHUTI LA MBALIYap!! Wananchi tunashinda 2 au zaidi. [emoji41][emoji41][emoji41]
Jiandae kwa maumivuNdio. Mie nishatabiri hapo juu.
Mdogo wangu naona hadi na Dkk umeweka. Lol😀😀😀BIASHARA ANASHINDA MOJA BILA DEO JUDIKA DAKIKA YA 67 SHUTI LA MBALI
Babu kutoka mara kashamaliza mchezoMdogo wangu naona hadi na Dkk umeweka. Lol[emoji3][emoji3][emoji3]
Hili linahitaji utaalamu kwa kweli.
Najua watabana ila mwishowe wataachia.Jiandae kwa maumivu
Ooh!! Sio mbaya Mkuu tutacheki kwa tiviiHapana mkuu, nipo mjini ratiba kidogo imebana ingekuwa kwa Ben hapo ningeweza kuforce mkuu
Au niweke na picha yamuuaji ili mpindue meza mapema?Najua watabana ila mwishowe wataachia.
Na vile leo sina mishe za kunibana nitaicheki na ikibidi nitaweka updates.
Nitakutag pia. [emoji3]
Hahahaaa. Naona Mdogo wangu unataka tutishua nyani. Lol.Babu kutoka mara kashamaliza mchezo
Kesho Napo thimba anakufa final Azam tunaenda na Biashara mtake msitakeHahahaaa. Naona Mdogo wangu unataka tutishua nyani. Lol.
Weka japo usije kimbia tu. 🤣Au niweke na picha yamuuaji ili mpindue meza mapema?
Hapo kwa 5imba sawa sawa kabisa. Hahahahaaaaaaaa. Hujakosea.Kesho Napo thimba anakufa final Azam tunaenda na Biashara mtake msitake