kidunula1
JF-Expert Member
- Apr 2, 2016
- 6,305
- 6,341
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii hapa bwana duuuu!
Naona mko bize na maandalizi ya Tamasha la Mziki, ligi ikianza tusitafute MCHAWI.
Mnajipa Ubingwa Ata Ligi Haijaaanz Acha Kukariri [emoji23][emoji23], Tufungeni Kwanza Tar 25 Tuone [emoji23][emoji23]Naona mko bize na maandalizi ya Tamasha la Mziki, ligi ikianza tusitafute MCHAWI.
Simba nguvu moja
Simba bingwa 2021/2022
Mbona umepaniki?Naona mko bize na maandalizi ya Tamasha la Mziki, ligi ikianza tusitafute MCHAWI.
Simba nguvu moja
Simba bingwa 2021/2022
Huku tunamtimua na mikukiHata mie Mkuu.
Sababu nimeuvaa huu ushabiki nilionao sijioni kuweza hata siku moja kuhamia 5imba.
Yule mganga njaa tu na si ajabu akishapata alichokifuata akarudi huko 5imba.
hii mbona sare ya ccm[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hii hapa ndugu!View attachment 1911198View attachment 1911199
Kajaribu Lumumbamkuu jezi za Yanga zinapatikana wapi maduka yote uku Sinza hakuna .
Hebu tuache kama unataka na wewe kesho njoo.😆Naona mko bize na maandalizi ya Tamasha la Mziki, ligi ikianza tusitafute MCHAWI.
Simba nguvu moja
Simba bingwa 2021/2022
Ila unaadimikaga sana Ntani au ndo unagugumia maumivu ya mnayopitia huko mana naona hadi Mumemtuma Kigogo awasemee. 😅😅Naona mko bize na maandalizi ya Tamasha la Mziki, ligi ikianza tusitafute MCHAWI.
Simba nguvu moja
Simba bingwa 2021/2022
Saafi!! Wengi tunatamani kukiona Kikosi chetu kipya Uwanjani.
Akiwaletea zenye faida mbona mtasema mtoto arudi nyumbani. TehHuku tunamtimua na mikuki
Simba nghuvu moya (in Mo voice) [emoji3][emoji3]Naona mko bize na maandalizi ya Tamasha la Mziki, ligi ikianza tusitafute MCHAWI.
Simba nguvu moja
Simba bingwa 2021/2022
Akiwa mmoja tunaita KOLO[emoji2]Ila unaadimikaga sana Ntani au ndo unagugumia maumivu ya mnayopitia huko mana naona hadi Mumemtuma Kigogo awasemee. [emoji28][emoji28]
Kumbe vichambo vinaumaga. [emoji38][emoji38]
Makolo FC.
Hata jezi tu hamna,zipo Sunderland nae anauza 45000
Jezi hakuna mkuu,Kajaribu Lumumba
EeewaaaaAkiwa mmoja tunaita KOLO[emoji2]