Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Hii hapa ndugu!
IMG-20210825-WA0114.jpg
IMG-20210825-WA0112.jpg
 
Naona mko bize na maandalizi ya Tamasha la Mziki, ligi ikianza tusitafute MCHAWI.

Simba nguvu moja
Simba bingwa 2021/2022
Ila unaadimikaga sana Ntani au ndo unagugumia maumivu ya mnayopitia huko mana naona hadi Mumemtuma Kigogo awasemee. 😅😅

Kumbe vichambo vinaumaga. 😆😆

Makolo FC.
 
Back
Top Bottom