Van pebles
JF-Expert Member
- Oct 23, 2018
- 2,861
- 5,305
Kwema mtaniDuuh!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwema mtaniDuuh!!
Kwema kabisa aisee. Mida inakaribia. 😀Kwema mtani
Usijali tupo together na Biashara ya Mabegi[emoji28]Kwema kabisa aisee. Mida inakaribia. [emoji3]
Mbona Kabwili huwa humpost[emoji16]Kwa hii minguo tushindwe wenyewe Fans wa Timu ya Mwananchi.
View attachment 2058496
Nguo za kina Harmonize[emoji16]
Hivi Yanga tuna mchezaji anaitwa Kabwili kwani? 🤔Mbona Kabwili huwa humpost[emoji16]
Ndio ndio ziko vizuri mno.Nguo za kina Harmonize[emoji16]
Nasikia mmemrudisha Metacha aliyewaonyesha kidoleHivi Yanga tuna mchezaji anaitwa Kabwili kwani? 🤔
Endelea kucheka... Hii yanga ni bamba to bampa nanii (kwa sauti ya DJ afro amigos waaaa!!!) [emoji16][emoji172][emoji169][emoji12]Labda ashinde uchi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Watz wengi hawajui mpira, ni wachache sana wanaojua, wacha wanaojua waanze, wachezaji wengi wa kitanzania hawafundishiki, pale Yanga tuna Watz wachache wenye akili ya mpira, Fei maestro, Mwamnyeto kitasa, Job, Kibwana na wawili watatu but waliobaki ni uchafu.Yes we have won, question remains, how many Tanzanian players were in the starting lineup?
Naona hata kujibu quote yako kashindwa lol.Endelea kucheka... Hii yanga ni bamba to bampa nanii (kwa sauti ya DJ afro amigos waaaa!!!) [emoji16][emoji172][emoji169][emoji12]