Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama sio mbeleko huu makolo yalitakiwa yawe nafasi ya 9 huko na alama zao 17Ila bana TFF wanajua kwenda na upepo yaani waamuzi washawapatia points kibao za kubumba halafu leo hii ndo wanaleta mambo ya Semina. [emoji853]
View attachment 2114242
Cc. Troisième Ceil
Hakika Mkuu. Wawashukuru sana hao waenda kwenye Semina ya siku tatu.Kama sio mbeleko huu makolo yalitakiwa yawe nafasi ya 9 huko na alama zao 17
Duh!Manara anazidi kuwadaganyaHamna lolote. Mnadhania hatujui mbinu zenu zile za spray. [emoji6]
Kauli ya mtu aliyekata tamaa na ubingwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hakika Mkuu. Wawashukuru sana hao waenda kwenye Semina ya siku tatu.
Mlinda mlango tishio[emoji28]Johora kama johora. [emoji23][emoji23]
View attachment 2115444
Huezi amini sinaga time na huyo mtu. 😀Duh!Manara anazidi kuwadaganya
Fika pale juu kwanza. Na ukishafika walau naeza pata puresha.Kauli ya mtu aliyekata tamaa na ubingwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ngoja tumalize majukumu ya Taifa kwanzaFika pale juu kwanza. Na ukishafika walau naeza pata puresha.
Hahahaaa. Wacha weee.Ngoja tumalize majukumu ya Taifa kwanza
Asante Sana Kwa kumkumbuka Mwamba huyu. Miezi michacbe nyuma alisikika akisema miongoni mwa mambo yanayomnyima Raha ni kuachwa na timu yenu. Apumzike Kwa Amani beki mwenye kipaji na mapenzi ya kweli Kwa Taifa lake.Inalillah wa inna ilaihi rajiun.
View attachment 2116374