Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Kila la kheri timu ya Wananchi katika kuzichikua points tatu toka kwa Azam hapo 20:15Hrs.

#DaimaMbeleNyumaMwiko.
 
Da! Naona kocha kaweka mpangokazi hapo lazima Azam atoke kichwa chini...
Go Yanga yes we're the champion
Nakazia Mkuu.
Young_Africans_SC_(logo).png
 
Back
Top Bottom