Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni Kweli, Alivyokuwa Biashara United Alikuwa Anacheza Bila Pressure Na Wala Timu Kukamiwa Sana Na Mpinzani, Lakini Yanga Huku Kila Game Mpinzani Anakamia Na Ukizingatia Kana Msuli Mdogo Ndo Kabisa Watu Wanakatoa Tu Kwenye Reli Kirahisi.Ila huyu dogo namuonaga kama hanaga nguvu za kupambana yaani ni mwepesi au ni mimi tu ndo naonaga hivyo? Kujua mpira anajua ila nguvu sasa.
View attachment 2205522
Umeonaee na kama game ya leo hata akiingia Sub sijui kama ataweza kucheza kazi kazi.Ni Kweli, Alivyokuwa Biashara United Alikuwa Anacheza Bila Pressure Na Wala Timu Kukamiwa Sana Na Mpinzani, Lakini Yanga Huku Kila Game Mpinzani Anakamia Na Ukizingatia Kana Msuli Mdogo Ndo Kabisa Watu Wanakatoa Tu Kwenye Reli Kirahisi.
Mechi ile Tulikuwa Bado Hatujamsajili, Huyu Hana Mpira Wa Kaz Kaz Na Hata Akicheza Leo Sijui Ataweza Kumkaba Nani Tukiwa Hatuna Mpira Labda Abadilike Leo Kama Akipewa Nafasi... Namuombea Awe Imara Kuliko Siku Zote Yani Ajikaze Kweli Kweli Kama Akicheza Leo.Umeonaee na kama game ya leo hata akiingia Sub sijui kama ataweza kucheza kazi kazi.
Game ya watani First Round sikuiona wala kusikiliza sijui kama alipangwa kweli?
Sioni wapi Makolo wanatoka aisee.Diarra
Job Mwamnyeto Bangala
Djuma Aucho Sureboy Farid
Ntibazonkiza Mayele Feisal
Formation: 3-4-3 [emoji4]
Apo Ni Kushinda Tu Na Kuupiga Mwingi Mpaka Umwagike.Sioni wapi Makolo wanatoka aisee.
Hakika Mkuu na inawezekana.Apo Ni Kushinda Tu Na Kuupiga Mwingi Mpaka Umwagike.
Na Leo Tutaendeleza Ubabe Wetu Kwenye Ligi Dhidi Yao Wa Kuchukua Point 4 Jumla Kila Tunapokutana Kwa Takriban Misimu Miwili Sasa Na Huu Utakuwa Wa Tatu InshaAllah.Ila game ya leo itakuwa na burudani sana yaani. Na hapo ndo tunaenda kupasua jitu.
Wasijiaminishe eti ile timu bora kwa wakati huo tu ndo huwa inafungwa hilo wasahau sababu tumevunja miiko mingi sana hii season.
Moja wapo ni ya Namungo hamna aliyetegemea kama tungeeza mfunga siku moja. Hivyo hata na leo Timu ya Wananchi ndio bora na ndio itakayopata matokeo.
#DaimaMbeleNyumaMwiko.
Hakika Mkuu.Na Leo Tutaendeleza Ubabe Wetu Kwenye Ligi Dhidi Yao Wa Kuchukua Point 4 Jumla Kila Tunapokutana Kwa Takriban Misimu Miwili Sasa Na Huu Utakuwa Wa Tatu InshaAllah.
Unawachukulia Simba kama Mbeya kwanza wamalizwe na flops ?Kocha wetu Leo kuwamaliza Simba leo awachezeshe Makambo na Mayele pale mbele,na Mayele acheze free role