babu na mjukuu
JF-Expert Member
- Jun 23, 2016
- 3,916
- 6,697
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mauya Pale Ndo Huwa Ananifurahisha Tu..Nikimbuka Na Alivyomfunga Manula Pia, Jamaa Ni Muuaji [emoji23]Hahahaaa. Goli la kikatili sana lile mkuu.
Mbona baadae alimuingiza Bangala?Kocha Kasema Walikuwa Hawaendani Na Uwanja Eti [emoji23]
😀😀😀[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]View attachment 2225935
Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
Ile aliyomfunga Manula inaitwa Komesha.Mauya Pale Ndo Huwa Ananifurahisha Tu..Nikimbuka Na Alivyomfunga Manula Pia, Jamaa Ni Muuaji [emoji23]
Sijui Tena Labda Bangala Anaendana Na Uwanja PiaMbona baadae alimuingiza Bangala?
Kisasi Lazima Tulipe Wametuonea Sana Kwenye Hili Kombe...Sasa Inatosha, Tumewavua Ubingwa Kwenye Ligi Na Huku Pia Tunawavua Vile Vile.Kwa mara ingine.View attachment 2227991
Nina uhakika leo utalala usingizi mnono baada ya captain Mwanyeto kukalia kochi jeupe[emoji28]Mbona baadae alimuingiza Bangala?
Nina uhakika leo utalala usingizi mnono baada ya captain Mwamnyeto kukalia kochi jeupe[emoji28]
Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
Haya mambo ndo tunataka Mkuu 😀 walau tukikaa tuvimbe kwamba hata next season tunaeza fanya vizuri pia.Nina uhakika leo utalala usingizi mnono baada ya captain Mwanyeto kukalia kochi jeupe[emoji28]
Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
Waliokuwa wanamtamani tumewaachia manyoya. 🤣🤣🤣Nina uhakika leo utalala usingizi mnono baada ya captain Mwanyeto kukalia kochi jeupe[emoji28]
Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
Yap! Na haya makombe yanapendeza sana ukiyachukua kwa pamoja Mkuu. 🤣Kisasi Lazima Tulipe Wametuonea Sana Kwenye Hili Kombe...Sasa Inatosha, Tumewavua Ubingwa Kwenye Ligi Na Huku Pia Tunawavua Vile Vile.
Kabisa Mkuu Na Tutakuwa Tumewapa Pigo Takatifu...Em Fikiria Ubingwa Bila Kufungwa, Ngao Ya Jamii Na Kombe La ASFC..Yani Imekaa Kibabe Sana [emoji23]Yap! Na haya makombe yanapendeza sana ukiyachukua kwa pamoja Mkuu. [emoji1787]
Nia tunayo na uwezo pia tunao Mkuu. Tuisubirie tu hiyo tarehe 28.Kabisa Mkuu Na Tutakuwa Tumewapa Pigo Takatifu...Em Fikiria Ubingwa Bila Kufungwa, Ngao Ya Jamii Na Kombe La ASFC..Yani Imekaa Kibabe Sana [emoji23]
Jana ukabuma chamazi. 🤣🤣