Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Hizi kauli ipo siku hamtataka kuzisikia aisee. Kama sasa hivi msivyoipenda ile ya Yanga kukata moto second round. [emoji1787][emoji1787]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mnaanzia round ya 1 bingwa afu mshindi wa pili anaanza round ya 2 hii CAF wanaipendelea simba
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mnaanzia round ya 1 bingwa afu mshindi wa pili anaanza round ya 2 hii CAF wanaipendelea simba
Hiyo si mpaka Etoil du Sahel ashindwe kufuzu. Akifuzu na nyie mnaanza hatua anayoanzia Yanga
 
Kama kawaida Points zetu zingine tatu naziona.

#NewChampions
#DaimaMbeleNyumaMwiko.
20220520_122141.jpg
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mnaanzia round ya 1 bingwa afu mshindi wa pili anaanza round ya 2 hii CAF wanaipendelea simba
CAF ni wajinga, hii kanuni haiko kokote duniani, nchi ndio inapaswa kutoa timu ambayo itaanzia hatua ya pili na sio Timu.
Nipe mfano nchi gani hapa Afrika ilikuwa ya Pili kwenye ligi yao ikaanzia hatua ya Pili na Bingwa akaanzia hatua ya awali??
 
Back
Top Bottom