Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,308
- 32,757
Ndyo kimataifa yenu hyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
This Saturday Mayele Will Be Back In His Place, Stay Tuned. [emoji4]Vp huko top scores bado mnamsikia yule nanii [emoji23][emoji23][emoji23]
Hizi kauli ipo siku hamtataka kuzisikia aisee. Kama sasa hivi msivyoipenda ile ya Yanga kukata moto second round. 🤣🤣Ndyo kimataifa yenu hyo
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mnaanzia round ya 1 bingwa afu mshindi wa pili anaanza round ya 2 hii CAF wanaipendelea simbaHizi kauli ipo siku hamtataka kuzisikia aisee. Kama sasa hivi msivyoipenda ile ya Yanga kukata moto second round. [emoji1787][emoji1787]
Hiyo si mpaka Etoil du Sahel ashindwe kufuzu. Akifuzu na nyie mnaanza hatua anayoanzia Yanga[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mnaanzia round ya 1 bingwa afu mshindi wa pili anaanza round ya 2 hii CAF wanaipendelea simba
CAF ni wajinga, hii kanuni haiko kokote duniani, nchi ndio inapaswa kutoa timu ambayo itaanzia hatua ya pili na sio Timu.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mnaanzia round ya 1 bingwa afu mshindi wa pili anaanza round ya 2 hii CAF wanaipendelea simba
Naona swali langu umelipotezea. 🤔 Ni wewe?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mnaanzia round ya 1 bingwa afu mshindi wa pili anaanza round ya 2 hii CAF wanaipendelea simba
Hofu ilikujaa shemela.Tushatetema huko jamani. 🤣🤣
Nakuaminia shemela.....Kikosi chetu leo dhidi ya Mbeya Kwanza.
View attachment 2232055