Mzee Wa Kazi Chafu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2022
- 2,245
- 4,966
ilikuwa Tugawane 6B Kila Mmoja Eti Wakaringia Mkataba Bhn Wakidai Wao Hawawezi Kulipwa Sawa Na Sisi Eti Wao Wanadai Wana Mashabiki Wengi Kuzidi Sisi, Wana Mafanikio Kutuzidi, Wakawaletea Ustaa Sportpesa Kampuni Ambayo Inadhamini Mitimu Kibao Ulaya Huko Ligi Kubwa Kubwa Itakuwa Wao Viande Tu Wa Kariakoo Hapo Msimbazi....Yakaamua Yakimbilie MBet Wakidhani Watakuwa Wamewakomoa Yanga Na Sportpesa....Sasa Sportpesa Alichofanya Mzigo Wote Alokuwa Amepanga Kuugawa Kwa Timu Hizi Mbili Ameumwaga Yanga Af Kwa Miaka Mitatu Tu Kudadek! [emoji23][emoji23] Saa hii wanajuta huko. [emoji23]