Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Sisi Yanga tumeshatoka huko kwenye dhana za kizamani za kutegemea uwanja wa nyumbani, tabia hiyo ndiyo inayodumaza soka la kiafrika, ni kweli inatakiwa utilie mkazo mechi za nyumbani ila usiogope kutafuta ushindi mechi za ugenini, hiyo ndiyo modern football, kwanza unamuangalia mpinzani ukiona kazubaa zubaa unampiga huko huko kwao kama jana Yanga alivyofanya.

Kingine ni game dominance, walichokosea Club Africain ni kucheza na YANGA kwenye uwanja mzuri vile ilihali wakijua Yanga ni mnyama fulani mkubwa unapowaweka kwenye uwanja mzuri, wangewaiga Al hilal labda wangetoboa lkn co uwanja ule mana Yanga kwa kumiliki mpira hilo linajulikana.

Wapinzani mjipange kweli kweli mana hii Yanga kuna siku mtu atakuwa hagusi mpira mpk unaisha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kombe la waliofeli
 
Ogopa sana teknolojia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


Loser
 
Nyie Mikia tunajua kinawauma sana ila ndio imeshatokea.

Mwisho wa siku nyie mtacheza mechi sita na sisi tutacheza mechi sita pia Kimataifa.
2828547_IMG-20210703-WA0009.jpg
 
Nyie Mikia tunajua kinawauma sana ila ndio imeshatokea.

Mwisho wa siku nyie mtacheza mechi sita na sisi tutacheza mechi sita pia Kimataifa.
View attachment 2413447
Nyinyi mtakuwa katika KOMBE LA WALIOFELI,.... sisi tutakuwa katika KLABU BINGWA AFRIKA.



MMELEA WENYEWE DOMO LA ZUNGUPORI LINAWAHUKUMU.

MIHOGO FC
FAILURE
 
Nakubali kuwa Yanga ni timu yenye rekodi nzuri kuliko yote hapa nchini!

Yote kwa yote kitendo cha Jumapili ni fadhaa kwetu wapenzi wa Yanga na sasa itabidi tukae miaka mitatu nje ya kandanda ya CECAFA! Viongozi tulionao hawaona upeo hata kidogo.

Nadhani kuna mengi ya kujivunia lakini kwa miaka ya karibuni tumekuwa hatupati ile raha tunayostahili.
 
Sherehe zimeshaisha eeeh, haya sasa niwapongeze watani Utopolo kwa kushinda mechi ya ugenini na hatimaye kufanikiwa kutinga hatua ya makundi kombe la shirikisho barani Afrika, kushinda ugenini kwenye mashindano ya Afrika sio kazi rahisi, yahitaji uwekezaji mkubwa wa hali na mali, wachezaji kujitambua kuwa wanawakilisha umati mkubwa wa mashabiki ambao wamewekeza furaha yao kwao endapo watafanya vizuri, viongozi nao wajue wamebeba dhamana kubwa sana, wanatakiwa kuwa wachezaji nje ya uwanja.

Kwa dhati kabisa niwapongeze wachezaji wa Utopolo kwa kujituma na kuipogania vema nembo ya klabu yao, brand name ya klabu yao, na kikubwa zaidi kuipeperusha vema bendera ya taifa ya Tanzania.

Kazi ndio kwanza imeanza, hatua ya makundi, ili upenye, kwanza ni kuhakikisha poits 9 za michezo ya nyumbani zote unazikomba, ugenini ukipata hata poit 1 tu, unatoboa robo fainali.

Ni muda muafaka sasa kufanya maandalizi ya kutosha, kusahihisha makosa yaliyoonekana, na kutafuta mechi za majaribio za kariba ya timu zinazoshiriki michuano hiyo mikubwa barani Afrika.

HONGERA SANA WATANI.
Huu sasa ndio uungwana na hongera sana. Pia tunashukuru kwa maneno yako.

#Daima Mbele Nyuma Mwiko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Young_Africans_SC_(logo).png



JINA KAMILI :Young Africans Sports Club


JINA LA UTANI : Wananchi


KLABU ILIANZISHWA: 11 Februari 1935; Miaka 87 iliyopita, kama New Young


20221113_002404.jpg

UWANJA : Uwanja Wa Benjamin William Mkapa . Uwezo (60000).


MMILIKI: Klabu hii kwa sasa ipo katika mchakato utakaoweka umiliki wa klabu kwa asilimia 49 kwa wawekezaji na asilimia 51 iliyobaki kwa wanachama wa klabu.

20221113_002458.jpg

RAIS: Hersi Said.

20221112_235253.jpg


KOCHA MKUU: Nasreddine Nabi


20221113_081556.jpg

LIGI KUU : NBC Premier League


2021-22Champion


WEBSITE CLUB: Young Africans Sports Club – Young Africans Sports Club


MATAJI :


LIGI YA TANZANIA


Mabingwa (28): 1968, 1969, 1970, 1971, 1972, 1974, 1981, 1983, 1985,1987, 1989, 1991, 1992, 1993, 1996, 08, 208, 208, 208, 1996, 208, 208, 208, 1996, 2088 –09, 2010–11, 2012–13, 2014–15, 2015–16, 2016–17, 2021–22


KOMBE LA NYERERE


Mabingwa (3): 1975, 1994, 1999


Washindi wa pili (1): 2001


KOMBE LA FAT


Mabingwa (2): 2015–16, 2021/22


Washindi wa pili (2): 1996, 2021


KOMBE LA TUSKER


Mabingwa (7):1986,1992,1987,2000,2005,2007,2009


Washindi wa pili (3): 2001, 2002, 2005.


MAPINDUZI CUP


Mabingwa (3): 2003,2004, 2021


Washindi wa pili (1): 2011


NGAO YA JAMII


Mabingwa (8): 2001, 2010, 2013, 2014, 2015, 2021,2022


Washindi wa pili (6): 2002, 2005,2013,2009, 2011, 2016, 2017


MICHUANO YA KLABU YA CECAFA


Mabingwa (5): 1975, 1993, 1999, 2011, 2012


Washindi wa pili (3): 1976, 1986, 1992.



20221113_000425.jpg

Klabu ya Soka ya Young African Sc ikisherehekea walipotwaa Kombe la Nbc premium league (2021- 2022).



20221113_000852.jpg

Klabu ya Soka ya Young African Sc ikisherehekea walipotwaa Taji la Washindi wa Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC).
(2021- 2022).


20221113_002328.jpg

Klabu ya Soka ya Young African Sc ikisherehekea walipotwaa Taji la Ngao ya hisani (2021- 2022).


Screenshot_20221113-081901~2.png

Ratiba ya Michezo ya Ligi Kuu ya Young African Sc ya 2021/22.


Follow this thread for team updates!
 
Back
Top Bottom