Kitimoto
JF-Expert Member
- Aug 25, 2012
- 6,941
- 7,808
Wahuni wa TieFueFu inazikumbusha timu za Yanga na Simba zinazoshiriki mashindano ya "CUF" hakutakuwepo na kuhairishwa kwa mechi zao za ligi iwapo mechi inayofuata itakuwa imepishana kwa siku 2, siku ya 3 mechi ya ligi lazima ichezwe hata kama timu imecheza mechi nje ya Bongo.
Ndio maana timu zimeruhusiwa kusajili wachezaji 30, ukiona shida nenda nje ya nchi na wachezaji 18, wachezaji 12 wabakize Bongo .
Ndio maana timu zimeruhusiwa kusajili wachezaji 30, ukiona shida nenda nje ya nchi na wachezaji 18, wachezaji 12 wabakize Bongo .