Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Screenshot_20221129-120504_Instagram.jpg
 
Kila la kheri timu ya Wananchi. Points tatu ndo tunahitaji.

#DaimaMbeleNyumaMwiko.
 
Asante ihefu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]
 
Watu wamekata utepe leo [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Leo mmefanya nimuamini @genta kuhusu jezi za yanga
Kwenye huu uzi soma post namba 22022 utaona pendekezo la wadau kuhusu jezi hasa baada ya performance ya mechi dhidi ya Club African na Singida big stars. Jami Forums ni platform inaunganisha viongozi wa nyanja tofauti tofauti na vinavyoandika humu vinaweza vikafanyiwa kazi na wahusika.

Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
 
Bad moment bad experience. Hatimaye tumeonja uchungu baada ya kula utamu kwa zaidi ya mwaka mmoja.

Na kwa hakika tulichonga mzinga. Ihefu ni nyoko sana
 
Jaza kwa kutamka herufi mbili zinazofuatia, tumia kiingereza:

a, b, c, d, ......, ......
 
Ila Ihefu wapuuzi sana, maana 50 inapendeza sana kuisherehekea. Afadhali mechi hii ingechezwa baada ya hii ya Prisons
 
Back
Top Bottom