ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
[emoji736][emoji736][emoji736]Dah aisee umemkosea sn Mayele mkuu, amekiwasha sn jana licha ya kwamba hakufunga, ofcz yes, kwa striker mfano wa Mayele lazima uwe mchoyo lkn ukiachana na uchoyo wake kwa asilimia kubwa yeye ndiye aliyesababisha ushindi wa jana, wacongo walimkaba sn kumbe wakasahau watu wengine, na hiyo ndiyo advantage ya kuwa na Mayele uwanjani.