Ahyan
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 2,310
- 5,482
Ubaya mmekariri mvua ni kikwazo kwa Yanga... na hiyo siku ni kweli itanyesha... lakini kombe lazima liende jangwaniNdio kombe pekee yanga atachukua,Azam conf hapati hata kwa Dawa.Niiteni Andazi niko paleee