Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Shem huyu tutampiga za kutosha tu.Piga huyo El Merreikh.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shem huyu tutampiga za kutosha tu.Piga huyo El Merreikh.
[emoji172][emoji172][emoji172]naomba kuugwa katika group letu.Shem huyu tutampiga za kutosha tu.
[emoji172][emoji172][emoji172]naomba kuugwa katika group letu.
0655361138
Jambo lako linashunghulikiwa
Naweza kupata link nkajiunga mwenyewe
Naweza kupata link nkajiunga mwenyewe
Mkuu naomba univumilie maaana whatsap yangu mpaka ni update ndio nitpata linki nikutumie
Kila la heri wananchi💚💛Leo ndo ile siku ya Timu ya Wananchi kuelekea kuandika historia nyingine upande wa Caf Champions League.
Kikosi bora tunacho, ari tunayo, uwezo pia tunao ni swala la muda.
#DaimaMbeleNyumaMwiko.
Mh sawa bwana , aisee msinipopoe mimi napita tu jamaKa thread ka Simba kamekondeana, yanakimbilia kujazana huku yanauacha uzi wa yenyewe ukipwaya! Mashabiki yasiyojielewa!
Mkuu itapendeza na mm ukinitumia linkMkuu naomba univumilie maaana whatsap yangu mpaka ni update ndio nitpata linki nikutumie
Kawaida yao hiyo Mkuu tumeshawazowea.Tukisha mpiga Al merrekh 3 wale ndugu zetu upande wa Baba wataanza kusema tumecheza na Marrekh wa bovu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utazan power dynamo ni wazima sasa [emoji23][emoji23][emoji23]
Daaa sijui tutashinda
Mechi ngumu Mkuu.Daaa sijui tutashinda