Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Leo ndio leo.
Screenshot_20231105-104829_Instagram.jpg
 
... [emoji3538] | 𝗞𝗔𝗥𝗜𝗔𝗞𝗢𝗢 𝗗𝗘𝗥𝗕𝗬

Vikosi vilivyoanza Tanga, ungependa viingie hivi hivi au vibadilishwe, je ni maeneo gani ?

𝗬𝗼𝘂𝗻𝗴 𝗔𝗳𝗿𝗶𝗰𝗮𝗻𝘀 𝗦𝗖

◉ Diarra
◉ Yao Kouassi
◉ Lomalisa
◉ Mwamnyeto
◉ Ibra Bacca
◉ Aucho Khalid
◉ Max Nzengeli
◉ Mudathir
◉ Mzize
◉ Musonda
◉ Moloko

Substitute

◎ Metacha — 0' min
◎ Kibabage — 0' min
◎ Job — 0' min
◎ Gift Fred — 0' min
◎ Mkude Jonas — 0' min
◎ Sure boy — 0' min
◎ Pacome — 10' min
◎ Aziz Ki — 25' min
◎ Konkoni — 5' min

𝗦𝗶𝗺𝗯𝗮 𝘀𝗽𝗼𝗿𝘁𝘀 𝗰𝗹𝘂𝗯 :

◉ Ally Salim
◉ Kapombe
◉ Zimbwe Jr
◉ Kennedy
◉ Che Malone
◉ Kanoute
◉ Chama
◉ Mzamiru
◉ Bocco
◉ Ntibazonkiza
◉ Miquissone

Substitute :

◎ Abel — 0' min
◎ Israel — 0' min
◎ Kazi — 0' min
◎ Fabrice Ngoma — 45' min
◎ Aubin Kramo — 0' min
◎ Baleke — 40' min
◎ Kibu Denis — 45' min
◎ Moses Phiri — 5' min
◎ Onana — 30' min
Unamuanzisha nje Dickson job?? Aziz k player of the month?? Na pacoume??? Sasa musonda na mzize si wanacheza nafasi Moja? Kikosi Leo ni diarra, Yao, lomalisa, job, bacca, aucho mudathir katikati, maxi,aziz k, pacoume afu kati ya musonda na mzize mmoja atakaa mbele.... Au moloko ataanza nafasi ya pacoume..... Saa 10 sio mbali ntakuja kuji quote
 
Unamuanzisha nje Dickson job?? Aziz k player of the month?? Na pacoume??? Sasa musonda na mzize si wanacheza nafasi Moja? Kikosi Leo ni diarra, Yao, lomalisa, job, bacca, aucho mudathir katikati, maxi,aziz k, pacoume afu kati ya musonda na mzize mmoja atakaa mbele.... Au moloko ataanza nafasi ya pacoume..... Saa 10 sio mbali ntakuja kuji quote
Nilisema. Diarra, Yao,lomalisa,job,bacca,aucho, mudathir,max,Aziz k,pacoume,musonda
 
Unamuanzisha nje Dickson job?? Aziz k player of the month?? Na pacoume??? Sasa musonda na mzize si wanacheza nafasi Moja? Kikosi Leo ni diarra, Yao, lomalisa, job, bacca, aucho mudathir katikati, maxi,aziz k, pacoume afu kati ya musonda na mzize mmoja atakaa mbele.... Au moloko ataanza nafasi ya pacoume..... Saa 10 sio mbali ntakuja kuji quote
Broo unajua Boli [emoji119]
 
RESPECT THE CLASSIC YANGA SC

Wakati timu kama KMC na JKT zinapokea bao 5 kutoka kwa Yanga Sc wengi walibeza kana kwamba ni udhaifu wa wapinzani na sio ubora wa Yanga Sc

Leo bao 5 zinaandikwa dhidi ya Simba Sc na timu bora Afrika Mashariki wanadhihirisha dunia hawawanii tuzo ya klabu Bora Afrika kwa bahati mbaya.

UKWELI MCHUNGU

Yanga Sc ikicheza watanzania asilimia kubwa huwa na fiuraha.
Na kauli yao inabaki ya kuwa Yanga Sc hii ndio timu Bora zaidi katika ukanda wa Afrika Mashariki na kati kwa sasa.

RESPECT THE ARGENTINE TACTICIAN GAMONDI

Kocha wa Yanga Sc Miguel aliona umuhimu wa kuisoma Simba katika michezo karibu mitatu kiwanjani kugundua siri yao na kocha Robertinho hasa katika namna anavyoiandaa timu yake dhidi ya mpinzani na kuficha madhaifu yake.

Yapo maneno mengi yalisemwa ila kubwa zaidi ni Afisa habari wa Simba Sc kuzungumza maneno makali ikiwemo Gamondi kuruhusiwa kwenda hata mazoezini kwa Simba kuwatazama na kumtunuku Kibu Denis kama mgeni rasmi wa siku ya Derby.

Kosa kubwa kwa Simba Sc ni kuamini kumzuia Yanga sc ni kitu kinachowezekana na kuamua kupishana ndani ya dakika 45 za mwisho na hapa ndipo Gamondi alipoamua mechi kwa madhaifu aliyoyasoma katika mechi 3 alizohudhuria za Simba.

Gamondi aliwachosha mabeki wa Simba kwa runner Musonda kisha akamuingiza high presser Mzize ukuta wa Simba sc became so disorganised kuliko safu yoyote ya ulinzi ligi kuu msimu.

This is fact.
{HFO} HERE FACTS ONLY
 
THIS IS FOOTBALL HERITAGE

✍🏻Yanga SC wamecheza mechi ya ubora wa hali ya juu ,walichofanya Yanga ni kutafsiri nini maana ya Football ? Ambayo ni :- TIME AND SPACE

✍🏻Timu zote mbili kuna mahala ambapo walikuwa wanajinyonga hasa kulingana na tafsiri ya football niliyokuambia ( Time and Space na hapa shikilia hili la Space )

1: Yanga na Simba wote walikuwa wanafinyia ndani sana ( narrow shape ) wakiwa na mpira na bila mpira maana yake ?

2: Space inakuwa pembeni ya uwanja na muda unapata wa kutosha maana yake timu yoyote ambayo ingetumia space hiyo ya wazi kwa ufanisi basi watasherekea sana na hata ukiangalia actions nyingi hatari zilitokea pembeni pasi zikipigwa huko .

✍🏻Kitu ambacho Yanga waliwaangamizia Simba ni space na time : viungo wa Yanga , mabeki wa Yanga , na viungo washambuliaji wa Yanga walikuwa wanapata space kubwa na muda wa kutosha wakiwa na mpira kwanini ?

1: Inatokana na Yanga wenyewe ( Positions za fullbacks wao na viungo wao washambuliaji zilikuwa ngumu sana kwa Simba kuwakabili )

2: Fullbacks wanapanda kuwaruhusu attacking trios ( Aziz Pacome na Maxi ) kuungana between the lines : hatari 🔥

3: Sababu nyingine ni Simba wenyewe , wanachelewa kwenye mpira haraka , watu wa mbele wanatembea , wanaacha kazi ya ulinzi kwa Ngoma na Kanoute maana yake hata Malone na Inonga kazi inakuwa kubwa kwao

✍🏻Kiufupi tu leo Yanga wameonesha utawala wa kimbinu na kiufundi : MASTERCLASS .!

NOTE

1: Kibu D anatoka uwanjani akiwa na utetezi lakini wenzake je ? Hasa viungo wenzake wa juu ( Chama ? Saido ? )

2: Through balls za Aziz Ki 🔥🔥 zimewavuruga sana Simba

3: Maxi ni elusive , ngumu kumkabili anaibuka kila mahala

4: Impact ya Mzize 🔥 runs zake

5: Pacome , technically 🔥 so good

6: Aishi anatamani hata asingerudi leo

7: TANO NYINGI NYIE 🤔

FT: Simba SC 1-5 Yanga SC
 
KIKOSI KAZI CHA SIMBA S.C.KILICHOSABABISHA AIBU KWA NCHI

1.Jaji Thomas Mihayo M/kiti

2. Hassan Dalali-Mjumbe

3. Ismail Aden Rage-Mjumbe

4. Evans Aveva-Mjumbe

5. Faroukh Baghoza- Mjumbe

6. Swedi Nkwabi-Mjumbe

7. Azim Dewji-Mjumbe

8. Kassim Dewji-Mjumbe

9. Musleh Al-Ruweh-Mjumbe

10. Mohamed Nassor-Mjumbe

11. Mulamu Ng’ambi-Mjumbe

12. Octavian Mshiu-Mjumbe

13. Prof Janabi-Mjumbe

14. Hassan Kipusi-Mjumbe

15. Geofrey Nyange-Mjumbe

16. Gerald Yambi-Mjumbe

17. Moses Kaluwa-Mjumbe

18.Crescentius Magori-Mjumbe

19. Juma Pinto- Mjumbe

20. Mwina Kaduguda-Mjumbe

21. Idd Kajuna-Mjumbe
 
Back
Top Bottom