Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

bc79267b-eb0c-4f9d-ab4e-5ea9bb4d4ee6.jpeg


Aziz Ki
 
Technically man of the match kwangu Mimi ni Diarra amabye kamtoa nje Kibu aliyekuwa tishio kwa defence ya Yanga. Baada ya Kibu kwenda nje defence ikapumua. Lomalisa akawa Yuko free ingawa hakuwa na wakati mzuri ktk mechi hii
 
RESPECT THE CLASSIC YANGA SC

Wakati timu kama KMC na JKT zinapokea bao 5 kutoka kwa Yanga Sc wengi walibeza kana kwamba ni udhaifu wa wapinzani na sio ubora wa Yanga Sc

Leo bao 5 zinaandikwa dhidi ya Simba Sc na timu bora Afrika Mashariki wanadhihirisha dunia hawawanii tuzo ya klabu Bora Afrika kwa bahati mbaya.

UKWELI MCHUNGU

Yanga Sc ikicheza watanzania asilimia kubwa huwa na fiuraha.
Na kauli yao inabaki ya kuwa Yanga Sc hii ndio timu Bora zaidi katika ukanda wa Afrika Mashariki na kati kwa sasa.

RESPECT THE ARGENTINE TACTICIAN GAMONDI

Kocha wa Yanga Sc Miguel aliona umuhimu wa kuisoma Simba katika michezo karibu mitatu kiwanjani kugundua siri yao na kocha Robertinho hasa katika namna anavyoiandaa timu yake dhidi ya mpinzani na kuficha madhaifu yake.

Yapo maneno mengi yalisemwa ila kubwa zaidi ni Afisa habari wa Simba Sc kuzungumza maneno makali ikiwemo Gamondi kuruhusiwa kwenda hata mazoezini kwa Simba kuwatazama na kumtunuku Kibu Denis kama mgeni rasmi wa siku ya Derby.

Kosa kubwa kwa Simba Sc ni kuamini kumzuia Yanga sc ni kitu kinachowezekana na kuamua kupishana ndani ya dakika 45 za mwisho na hapa ndipo Gamondi alipoamua mechi kwa madhaifu aliyoyasoma katika mechi 3 alizohudhuria za Simba.

Gamondi aliwachosha mabeki wa Simba kwa runner Musonda kisha akamuingiza high presser Mzize ukuta wa Simba sc became so disorganised kuliko safu yoyote ya ulinzi ligi kuu msimu.

This is fact.
{HFO} HERE FACTS ONLY
Umeongea fact tupu
 
Technically man of the match kwangu Mimi ni Diarra amabye kamtoa nje Kibu aliyekuwa tishio kwa defence ya Yanga. Baada ya Kibu kwenda nje defence ikapumua. Lomalisa akawa Yuko free ingawa hakuwa na wakati mzuri ktk mechi hii
Kwangu man of the match ni pacome..jana jamaa kaonesha kila yan kafanya kila kitu kwa 100% kauchezea mpira alivyotaka yeye katembea alivyo taka yeye amefanya mpira umeonekana rahisi sana
 
Unamuanzisha nje Dickson job?? Aziz k player of the month?? Na pacoume??? Sasa musonda na mzize si wanacheza nafasi Moja? Kikosi Leo ni diarra, Yao, lomalisa, job, bacca, aucho mudathir katikati, maxi,aziz k, pacoume afu kati ya musonda na mzize mmoja atakaa mbele.... Au moloko ataanza nafasi ya pacoume..... Saa 10 sio mbali ntakuja kuji quote
Good analysis...
 
Back
Top Bottom