Gang Chomba
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 20,649
- 4,786
- Thread starter
- #24,041
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa mbali ya kipaji inaelekea anapiga tizi sana.Kwangu man of the match ni pacome..jana jamaa kaonesha kila yan kafanya kila kitu kwa 100% kauchezea mpira alivyotaka yeye katembea alivyo taka yeye amefanya mpira umeonekana rahisi sana
Mungu ibariki Young Africa, Mungu bariki wachezaji wetu wawe na mchezo mzuri leo na wapate matokeo mazuri, Amina.Ni siku ingine kwa Timu ya Wananchi kuzidi kujiimarisha pale kileleni.
View attachment 2807785
Amiin. 🤲Mungu ibariki Young Africa, Mungu bariki wachezaji wetu wawe na mchezo mzuri leo na wapate matokeo mazuri, Amina.
Kabisa Mkuu japo na wale tuliowapiga tano macho na masikio yako Tanga wakiombea mabaya yatufike.Chondechonde Master Gamondi ukipanga kile kikosi dhidi ya Ihefu hatutakusamehe kabisa tunauihitaji ushindi kuliko hata msosi wa leo usiku!
Mkuu ushindi upo mikono salamaKabisa Mkuu japo na wale tuliowapiga tano macho na masikio yako Tanga wakiombea mabaya yatufike.
Kosi rushwaaa hili hamna kitu uchafu huuuHapa Vipi Wakuu!??View attachment 2807991