Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante,unarindima kutoka wapi Turati au Twiga/Mashujaa Praimali skuli hapo?miongoni mwa makocha walopata kuifundisha Yanga kwa nyakati tofauti ni
Said mziray
Nzoyisaba tauzany
Tambwe leya
Sunday kayuni
Steve mclennan
Tito mwaluvanda
Raoul shungu
Charles boniface mkwasa
Jack chamangwana
Jean polycape bonganya
Keny mwaisabula
Milutin sredojevic emichoi
Razzack ssiwa
Dusan kondic
Costadin papic
Sam timbe
Na wengine wengi
Asante,unarindima kutoka wapi Turati au Twiga/Mashujaa Praimali skuli hapo?
Aka baiskeli ya miti haipandi mlima.............MAHARADE vipi
Atasema pesa za manji zinamhujumu...Unacheza na msomali wewe?
Sijui Crashwise atasemanini kwa sasa maana kila siku alikuwa humu walipokuwa mbele yetu kwa pointi 12...Hakujuwa tofali la barafu halijengi nyumba maskini!!
Teh teh crashwise nadhani nimemkuta kwenye jukwaa la mapishi kama sikosei.
Mtani naona kaamua kujifunza madikodiko tu.



YANGA YASAINI MAKUBALIANO YA UPEMBUZI AKINIFU NA BCEG
Friday, 23 November 2012 18:16 administrator News
VIEWED 254 TIMES
Mwenyekiti wa klabu ya Yanga, Yusuph Manji kulia akisaini hati ya makubaliano ya upembuzi akinifu na Mkurugenzi wa Kampuni ya Beijing Construtcion Geng HijuanKlabu ya Yanga leo imesaini makubaliano ya upembuzi akinifu na kampuni ya Beijing Construction Engineering Group (BCEG) kutoka nchini China, juu ya mradi wa ujenzi wa Uwanja wa kisasa Kaunda katika eneo la makao makuu ya klabu Jangwani
Mwenyekiti wa klabu ya Yanga Yusuph Manji amesema wamefikia hatua hiyo baada ya kukaa uongozi na kamati ya utendaji na kujadili juu ya hatua hiyo ambayo kampuni ya BCEG itaanza kazi wiki ijayo na pindi watakapokalmilisha michoro zoezi litakalofuata litakua awawu ya ujeni wenyewe.
Hiki ni kipindi cha kufanya shughuli za kimaendeleo,m na hasa kipindi hichi ambacho klabu yetu ipo katika amani namshikamano kwa viongozi na wanachama, hivyo naamin mara tutakapomaliza suala la uwanja tutaanza pia ujenzi wa jengo lakitega uchumi mtaa wa mafia alisema 'Manji'.
Naye Mkurugenzi wa shirika la BCEG nchini, bwana Geng Hijuan amesema amefurahi kufikia hatua hiyo na klabu ya Young Africans, kazi waliyopewa sasa wataifanya kwa uhakika mzuri na kutoa makadirio halisi juu ya gharama ambazo zitagharimu kufanikisha mradi huo.
Kampuni ya BCEG kutoka nchini China ndiyo iliyojenga uwanja wa Taifa wa kisasa jijini Dar es salaam na sasa ndio waliopewa kazi ya ujenzi wa Uwanja wa kisasa wa Kaunda.
Naye makamu mwenyekiti wa klabu ya Yanga Clement Sanga amemseama, makadirio ya uwanja huo utakuwa na uwezo wa kuchukua watazamaji elfu thelathini (30,000) mpaka elfu arobaini (40,000) kutegemea na wataalam watakavyoona, pia utakua na huduma zote za muhim katika viwanja vya kisasa.
Manji alisema mategemeo ya Kamati ya Utendaji ni kuanza kujengwa kwa uwanja huo mapema kabla ya mwezi juni mwakani, ambapo desemba 8 mwaka huu watasubiria kupata baraka za wanachama katika mkutano mkuu.
YANGA YASAINI MAKUBALIANO YA UPEMBUZI AKINIFU NA BCEG
oyee the big team ,i wish it was already 2015 we could see our latest stadium imeandikwa hivi "huu ni uwanja wa timu ya young africans ambayo imejengwa kwa juhudi kubwa ya wanachama na wapenzi wa Yanga kutoka sehemu mbali mbali duniani chini ya mwenyekiti ndugu mheshimiwa Yusuf Manji na viongozi wenzake "ewe mnyezi mungu tunaomba uzima wa wananchi wote wa Tanzania na duniani kote ili tushuhudie the big day ameena.Haya ndo mambo tunayoyataka.Tuwaache akina maharage wanafukuzana...............
oyee the big team ,i wish it was already 2015 we could see our latest stadium imeandikwa hivi "huu ni uwanja wa timu ya young africans ambayo imejengwa kwa juhudi kubwa ya wanachama na wapenzi wa yanga kutoka sehemu mbali mbali duniani chini ya mwenyekiti ndugu mheshimiwa yusuf manji na viongozi wenzake "ewe mnyezi mungu tunaomba uzima wa wananchi wote wa tanzania na duniani kote ili tushuhudie the big day ameena.