Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Ooh! Sawa Mkuu.Yupo Tanzania kwa ajili ya matibabu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ooh! Sawa Mkuu.Yupo Tanzania kwa ajili ya matibabu.
Points 12 tunachukua hapa inshallah.
Ikawe hivyo Mkuu.Points 12 tunachukua hapa inshallah.
Mbona yanga inaratiba ngumu sana
TFF ya Karai hiyo inamuwinda Yanga apoteze.Mbona yanga inaratiba ngumu sana
Namkubali sana Muda!View attachment 2928753Huyu jamaa kwasasa ndio ufunguo wa magoli yetu 😀
Tutatoboza tu haina shida! Wacha TFF watubanie tu tutawashangaza! Sasa kila atakayepita mbele yetu analiwa! Kolozdad sasa hivi anatetemeka!Mbona yanga inaratiba ngumu sana
TFF hao wana malengo yao hapo.Mbona yanga inaratiba ngumu sana
Anajua, alifanya maamuzi sahihi kuja Yanga.....The next one DUBE 😀Namkubali sana Muda!
Acha tu wapange hivyo wakija kutahamaki tupo mbali kwenye points, maana ni mwendo ule ule na mapigo ni yale yale tukimkosa kosa mtu 5 ana ambulia 3 km Jana. 🤣TFF hao wana malengo yao hapo.
Kabisa tuwakande wanaojipendekeza.Acha tu wapange hivyo wakija kutahamaki tupo mbali kwenye points, maana ni mwendo ule ule na mapigo ni yale yale tukimkosa kosa mtu 5 ana ambulia 3 km Jana. 🤣
Halafu zote tunatangulizwa sisi Mikia FC anakuwa anasikilizia.Mbona yanga inaratiba ngumu sana
Shemela tukomae tu nao hivyo hivyo hamna jinsi.TFF hao wana malengo yao hapo.
Hakika Shem.Shemela tukomae tu nao hivyo hivyo hamna jinsi.
Imekaa vizuri.....HABARI WANA YANGA!?
Leo tumeshuhudia wote makundi yalivyopangwa..Tumeona Yanga vs Mamelodi. ...pasipo kuogopa uwekezaji wao kama club !! lakin hata sisi Yanga tuna uwezo mkubwa ...uwezo wetu unaanzia kwenye mfumo wa uendeshaji wa Club yetu..Yanga sc...Tumepata viongoz wachapa kazi na wabunifu sna tunajivunia hilo ..lakin pia tuna matawi ambayo yamebeba watu mbali mbali ambao ni wanahama wafia timu
........Angalizo...
..Hii mechi tukisimama wote kwa umoja na ushirikino wetu kama wana Yanga// Tunaweza kumpiga mamelodi na kutinga nusu final Caf...yes [emoji1434][emoji1434] inawezekana kabisa tumewahi kufanya hivyo
......Wito......
1... kwanza kabisa tuwaunge mkono Viongoz wetu wa club !!! pia wachezaji na benchi la ufundi...
2.Sisi wana Yanga woote popote ulipo!! hamasa iwepo kubwa sna kuelekea mchezo huo , hasa pale kama tu watasema tutaanzia nyumbani...
3 ..Tusimame sasa kuhakikisha mechi hizi mbili away & home tunapata ushindi..kama ilivyo kuwa kwa mazembe na Malumo
4/.viongoz wa matawi yoote ya Yanga sc //!! sasa ni mda wa kuitisha vikao vya zile kamati zetu za Siri
5.!/ Viongoz mbali mbali wa dini zote ..sasa ni mda wa kuomba Dua na sala..
.NB...
Kila mwenye imani yale aanze kuandaa lolote la kuifanya Yanga ikavuka hiki kiguzi cha kutinga nusu final ...hapa tukumbuke kauli ya afisa wetu wa habar alisema mwenye chochote atakachoona kitasaidia tim kushinda siku hyo aje nacho..ile.kauli bado inaish na iendelee kufanya kazi vilivyo..tusiwe wamaneno mengi sasa tuwe na mda wa kutafakari na kuhakikisha vitendo zaid kuliko maneno..tufanye kazi zetu kimya kimya kwa kumshirikisha Mungu hakika tutaweza kufika oale tunapopataka...ni vita ya wote na inatakiwa wote tuingie vitan !! kwa kila mmoja na style yake...Humu ndani zamani tulikuwa na ule utaratibu wa mikeka...sasa tuliusitisha kwa sababu maalumu.. naomba ule utaratibu wa kuchanga pesa basi hamishia kwako mwenyewe na tawi lako au watu wako wawili au watatu ...wapo watu ni wazur sna na wanajua hesabu za hiz mechi vzr mno !!!/na wengine wanajua kuomba Sala+ na kusoma Dua !!!//hivyo kwa kila mmoja na iman yake ,,apambane vilivyo kuhakikisha Yanga tunatoboa..Ni mda sasa wa kuacha kujadiri mambo mengne hebu tujikite na tuanze kuwaza hiyo mechi .!!//..naimna kubwa hata wenzetu mda huu Mamelodi walivyoona tu tumepangwa.. nao wameanza kutufuatilia kwa njia nyingi.. sasa sisi tusije bweteka kumbe wenzetu wakatuwahi...mpira una mambo mengi sna usipomuwahi mwenzio akikuwahi ww umeisha.. hivyo ndugu zangu wote na viongoz wote wa Club na matawi...!! tuanze kuitana kwa jili ya kujadiri mechi hiyo..Viongoz wetu nawakubal sna najua mda huu wanaandaa vikao vya siri sna ...bai na sisi tusilale kama wana Yanga na wanachama ...tuanze kupiga sim popote pale ...ili tu kupeana hamasa hii//!! Mazembe tulimuweza kwetu na kwao//!!! hata hao tutawaweza tu tutajishugulishe na sisi katika vita hii.
.Nimalizie kwa kusema
hivi..
.YANGA DAIMA MBELE..NYUMA MWIKO...Aluta Continua...[emoji1434][emoji1434][emoji1434]...hamasa iendelee mda huu...popote ulipo na ujumbe huu mwambie na mwana Yanga ausome ...wote tunaka furaha ila sasa lazima damu na jasho vitutoke kufikia mafanikio yetu kwa pamoja
....Wanaaaaaanchiiiiiiiii Tushikamane[emoji1434][emoji1434][emoji1434][emoji1666]