Mzee Wa Kazi Chafu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2022
- 2,245
- 4,966
Skudu anakaa vp benchi na mchezaji kama Guede anaanza?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Skudu na Guede wanacheza namba moja?Skudu anakaa vp benchi na mchezaji kama Guede anaanza?
Skudu na Guede wanacheza namba moja?
Skudu na Okrah una mchagua nani?
apo kocha alimpanga musonda winga na guede mbele ndio nikajisemea ivo, kwa skudu na okrah wote kwangu fresh wanavitu ambavyo napenda kuviona kwa winga aanze yeyote ila sio guede pale mbele ni bora tusicheze na striker tu na magoli yataingia km kawaida kwa uchezaji wake haendani na kasi ya yanga yule jamaa.Skudu na Guede wanacheza namba moja?
Skudu na Okrah una mchagua nani?
Yanga ndio Timu ya kwanza kuingia Robo Fainali CAF na hii ndio mara ya Tatu ilifanya hivyo mara mbili mfululizo mwaka 1969 na 1970 kwa Takwimu za Gharib Mzinga Pale Azam TV!!NAPENDA kujua kama yanga imewahi kuingia hatua ya robo fainali Kwa mashindano ya klabu bingwa mara ngapi , na ni miaka ipi? Asante
Sasa mbona CAF wanasema hii ni mara ya kwanza Kwa yanga kuingia robo fainali ya klabu bingwa mwaka huu wa 23/24? Nani mkweli ?Yanga ndio Timu ya kwanza kuingia Robo Fainali CAF na hii ndio mara ya Tatu ilifanya hivyo mara mbili mfululizo mwaka 1969 na 1970 kwa Takwimu za Gharib Mzinga Pale Azam TV!!
MakosaSasa mbona CAF wanasema hii ni mara ya kwanza Kwa yanga kuingia robo fainali ya klabu bingwa mwaka huu wa 23/24? Nani mkweli ?
Ogopa matapeliHaya ndio mambo gan tena yaan Azizi key na Diarra mpka Leo hawaripoti kambini?
Hii haikubaliki