Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Huu Uzi no maalumu kwa mashabiki wa ile timu inayopiga soka la kitabuni na clabu kubwa Africa kwa sasa nayo niyanga sc tu na si wengineo

hapa funs tuwe tuna update habari/taaifa,ratiba na kadharika

DAIMA MBELE NYUMA MWIKO!
 
Mabingwa wa Tanzania wale wengine ni mabingwa wa Tanganyika....
UBUNTU BOTHO
IMG-20240427-WA1114.jpg
 
Back
Top Bottom